Mkali wa muziki wa Bongo fleva hapa nchini, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz, amekanusha tetesi zakwenda kumpima mtoto wake Latiffah 'Tiffah' vinasaba 'DNA' ili kupata uthibitisho wa kuwa ni mwanawe au sio mwanae.
Diamond amezungumza hayo baada ya kufanyiwa mahojiano na eNewz kuhusiana na tetesi hizo ambapo alikanusha suala hilo, Diamond Anasema kumpima mtoto wako DNA ni kutojiamini na yeye hawezi kufanya hivyo, Diamond anasema alianza kumjua Tiffah akiwa tumboni.
Pia Diamond ameweka wazi kuwa picha inayomuonyesha akilia ni ya show yake ya Dar Live.
Mwanamuziki Diamond Platnumz Akanusha Kumpima Tiffah DNA....Adai Kupima DNA ni Kutojiamini
12
March 18, 2016
Magazeti,
ReplyDeleteWaandishi wa habari,
Ni shidaaaaaaaaaaaaaa.
Huwa namwamini Millady Ayo tu.
ReplyDeletekapima muongo domo.
ReplyDeleteDAI KAMPIMA NA KAJUA SIO WAKE, NDO MAANA ANABADILISHA MANENO.
ReplyDeleteyaani katika washenzi wewe ndo mmoja wapo hapo kuna maneno gani aliyobadili??????
Deletembona alivyoulizwa na hayo magazeti akayajibu kapima? au hakutegemea majibu yalivyotoka.
ReplyDeleteUkipima usipopima hilo lako unalo mtakoma kuparamia mashangingi
ReplyDeletenawe kapime na babako uone kama ni babako kweli.
ReplyDeleteno 1 mshenzi ni Mama yako alikutoa nyuma. mbwa wa kijiji kisichojulikana. Anony 3.35. PM
ReplyDeleteBibi kizee kamuingiza chaka Domo
ReplyDeleteApime asipime inamuhusu nani?mwanae c mwanae unaathirika nini?magazet yanauza sabb wambea wamejaa fanya yako ya dai muachie zari teh walau tuweke akiba ya maneno naye ni binaadam kama sisi
ReplyDeleteAnaona aibuuuuu subutu yakee anaona kabisaaa mtoto sio wake hafanani nae hata chembe,Tiffany ni sura ya katunzi mtupuuu mungu anamuumbua diamond na zari pia...ila zari hajali kwa sabb ni malayaa aliyepindukiaa yeye anataka apewe Kiki na diamond basii na kaisha jua diamond ni falaa!!! Sasa kitakachofuatia atapewa mimba na Ivan halafu atasema ni ya diamond piaa...chezeyaa pesa. Weweee unamsahau mpaka mungu!!!yetu machooo...
ReplyDelete