Mwanamuziki Diamond Platnumz Akanusha Kumpima Tiffah DNA....Adai Kupima DNA ni Kutojiamini

Mkali wa muziki wa Bongo fleva hapa nchini, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz, amekanusha tetesi zakwenda kumpima mtoto wake Latiffah 'Tiffah' vinasaba 'DNA' ili kupata uthibitisho wa kuwa ni mwanawe au sio mwanae.

Diamond amezungumza hayo baada ya kufanyiwa mahojiano na eNewz kuhusiana na tetesi hizo ambapo alikanusha suala hilo, Diamond Anasema kumpima mtoto wako DNA ni kutojiamini na yeye hawezi kufanya hivyo, Diamond anasema alianza kumjua Tiffah akiwa tumboni.

Pia Diamond ameweka wazi kuwa picha inayomuonyesha akilia ni ya show yake ya Dar Live.

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Magazeti,
    Waandishi wa habari,
    Ni shidaaaaaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  2. Huwa namwamini Millady Ayo tu.

    ReplyDelete
  3. kapima muongo domo.

    ReplyDelete
  4. DAI KAMPIMA NA KAJUA SIO WAKE, NDO MAANA ANABADILISHA MANENO.

    ReplyDelete
    Replies
    1. yaani katika washenzi wewe ndo mmoja wapo hapo kuna maneno gani aliyobadili??????

      Delete
  5. mbona alivyoulizwa na hayo magazeti akayajibu kapima? au hakutegemea majibu yalivyotoka.

    ReplyDelete
  6. Ukipima usipopima hilo lako unalo mtakoma kuparamia mashangingi

    ReplyDelete
  7. nawe kapime na babako uone kama ni babako kweli.

    ReplyDelete
  8. no 1 mshenzi ni Mama yako alikutoa nyuma. mbwa wa kijiji kisichojulikana. Anony 3.35. PM

    ReplyDelete
  9. Bibi kizee kamuingiza chaka Domo

    ReplyDelete
  10. Apime asipime inamuhusu nani?mwanae c mwanae unaathirika nini?magazet yanauza sabb wambea wamejaa fanya yako ya dai muachie zari teh walau tuweke akiba ya maneno naye ni binaadam kama sisi

    ReplyDelete
  11. Anaona aibuuuuu subutu yakee anaona kabisaaa mtoto sio wake hafanani nae hata chembe,Tiffany ni sura ya katunzi mtupuuu mungu anamuumbua diamond na zari pia...ila zari hajali kwa sabb ni malayaa aliyepindukiaa yeye anataka apewe Kiki na diamond basii na kaisha jua diamond ni falaa!!! Sasa kitakachofuatia atapewa mimba na Ivan halafu atasema ni ya diamond piaa...chezeyaa pesa. Weweee unamsahau mpaka mungu!!!yetu machooo...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad