Mwanamuziki Diamond Platnumz Aonyesha Ulimwengu Pesa Aliyozovuna Kwenye Show Dubai.....


Diamond ameamua kuwaonesha mashabiki wake madolari aliyoyachuma Dubai wiki hii. Ni mengi!!Staa huyo amepost burungutu sita
zilizoshiba za dola mia mia zikiwa juu ya gitaa.

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ULIMBUKENI WA TANDALE HAUJAMTOKA BADO.

    ReplyDelete
  2. aonyeshe na DNA alopata SAUTH. azidi kuwadanganya watz.

    ReplyDelete
  3. he! kwa nn alimpima Tifaa sauz. au ndo figisufigisu za kuficha ukweli.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kapime na wewe huone kama huyo unayemwita baba ni babako kweli!!!

      Delete
  4. hakujaza kama zamani waloenda ni mademu tuu.hayo hasemi anasema DNA ya uongo south na kuonyesha pesa kama hanith.

    ReplyDelete
  5. aache unafik asokuwa na pesa nani. ujinga tuu

    ReplyDelete
  6. mwenye pesa aonyeshi wala hajitangazi, kiki zimeanza kufa na hiyo show haikujaa wamezigandisa picha na kusema uongo eti ticket zimeisha lol.

    ReplyDelete
  7. huyu jamaa kumbe bado mshamba wa pesa! me nilifikiri ameshazizoea! kumbe zote zile zilikuwa kiki tu!

    ReplyDelete
  8. haters mtabaki na chuki tu huku maisha yanawapiga finger mpaka mtakapokufa.....DNA katestini za kwenu na baba zenu maana ukute mnaita baba tu kumbe mmepelekwa chaka na mama zenu mbuzi nyie

    ReplyDelete
  9. MTU MMJA COMMENTS ZOTE ZA JUU. KWELI WEWE UNA CHUKI NAE HAYA SASA YA DNA YAMETOKA WAPI MAANA HATA MACHO HUONI BADO UKO KWENYE DENIAL KWAMBA MTOTO SI WAKE.POLE WE WENZIO WENYE MACHO HATUHITAJI HATA DNA. MTOTO NI WA DIAMOND UPENDE USIPENDE KAMA HUTAKI FANYA UTAKALO. ROHO MBAYA TU

    ReplyDelete
  10. HUYO ANA WIVU MPAKA KWENYE KOPE HANA LOLOTE ROHO INAMUUMAJE? ANGEKUWA KANYE WEST KAONYESHA HIZO DOLARI ANGEONA SAWA ILA MBONGO MWENZIE MANENO MENGI. DIAMOND TUPIA TU BINADAMU NDIO TULIVYO HATUJA JEMA.

    ReplyDelete
  11. NDIO DAI BADO LEMBUKENI BADO NA DNA IMENISHANGAZA SANA KWA KUFICHWA NA KUITANGAZA LEO.
    HATER WA NN KWAMFANO NI UJINGA USIOKWENDA SHULE TUU.

    ReplyDelete
  12. hata wewe unaweza kuandika comments 20 peke yako Anony 3.38 PM. hujakatazwa

    ReplyDelete
  13. Kapimeni DNA na nyinyi mjue kama hao mnao waita baba ni baba zenu hamna hata haya. Pimeni mtutangazie hacha kushupalia ya Dai yenu mmeyaficha matakweni nyau wa kubwa. Dai anafanya anacho penda yeye sio wewe usie mjua baba yako na kumalizia hasira mtt wa watu.

    ReplyDelete
  14. kumbe kuna wagumba wa kiume?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata wa kike wapo mfano Wema.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad