Mwanamuziki JUX Afunguka Jinsi Alivyomshawishi Venessa Mdee Mpaka Kumkubali Kimapenzi..Adai Haikuwa Kazi Raisi

MKALI wa Miondoko ya RnB Bongo, Juma Jux, amesema wakati anaanza kumsarandia kimapenzi staa mwenzake, Vanessa Mdee ‘V Money’ alihangaika sana na haikuwa kazi rahisi.

Jux alisema ili kuhakikisha anamweka mtoto Vanessa kwenye ‘line’, alianza kwa kuomba kidani cha mkononi.

“Siyo mchezo, nilizunguka kweli. Nilianzia kwa kuomba kidani, akawa haelewi somo, nikahangaika kweli lakini mwishoni nilifanikiwa na nipo naye hadi leo,” alisema Jux.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad