Mwanaume Wangu Nadhani Anajulikana..Nyie Endeleeni Kumpa ‘Kiki’ Mkongo – Wema Sepetu

Staa wa filamu Wema Sepetu, amemkana raia wa Kongo ambaye watu wengi wanadai ana mahusiano naye ya kimapenzi.
Wema na Idris

Kupitia ukurasa wa instagram, Wema Sepetu ameandika.

Sijawahi na sitowahi kuwa na mwanaume Mkongo wa aina yoyote ile, sasa nashangaa watu wameona mimi ndo daraja la kuwapa umaarufu, I’m tired, huyo Apocalypse sijui kitu gani aint my man, I only know him as a friend, So please guys…. Niacheni kidogo tafadhal… Alam-siq.

And ontop of all that I think u all know me by now nikiwa na mtu sijivungi kumtangaza maana huwa I live to please my heart…

Mwanaume wangu nadhani anajulikana… Sasa endeleeni kumpa huyo baba attention sababu yeye nako naona kashaona ni kamchezo kakupatia followers… Na nyie mnampa airtime ya kutosha…. So anaendelea… Ananiudhi na mimi kiukweli hadi napata hasira… But nakaa tu kimya.

Kupitia ujumbe huo inaonyesha huwenda Wema Sepetu bado yupo kwenye mahusiano na Idris Sultan licha ya taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuzagaa kwamba wawili hao ameachana.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. achana nao Wema, hawajulikani mpaka wakutaje.

    ReplyDelete
  2. tatizo nyota Wema, kila mtu anataka kiki kupitia kwako.

    ReplyDelete
  3. hata bibi akiona atajwi anaanza kumtusi Madam ili watu wajue yupo duniani.

    ReplyDelete
  4. Bibi ataleta.picha mpya ili watu wamdiscus

    ReplyDelete
  5. Hahahaaaaa. lol u made my day Anony 6.48 PM.

    ReplyDelete
  6. WAPUMBAVU MNAMTETE MALAYA MWENZENU MKONGO AMEMLA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad