Napingana na Mhe. EDWARD Lowassa, Anaposema Rais Magufuli Hana Maono...

Katika moja ya thread nimesoma ndani ya jamii forums, inasema Mh Dk Magufuli ni rais asie na maono. Usemi huu umenifanya kuunganisha dots nakatuni za mwana siasa fulani ndan ya ccm ambaye ni kijana na ambaye ilisemekana kwamba alikuwa akiandaliwa as plan B ikiwa Mh Lowasa angekosa kuchaguliwa ndani ya ccm.

Ukweli ni kwamba kunauwezekano mkubwa mguno na kelele zimeanza toka kwa mh Lowasa ni dalili kuna mahali ameshaguswa na anaanza kusikia maumivu makali, ambayo kelele zake nikusema Mh Rais hana maono.

Swali gumu ambalo mimi na wewe mtanzania mwenzangu yatupasa kujiuliza kwa makini. Nikwanini huyu mh ameamua kuja na msemo huu wa rais wetu hana maono? Nilazima uwe na jicho la tatu,lanne mpaka saba kujuwa nini Mh Lowasa ali manisha!

Rais wa Tz nimiongoni wa viongoz wa africa amekataa ufalme na utukufu wanapata marais wa africa na badala yake amewageuza masikini na watu wenye kipato cha chini kuwa ndio wa falme na wenye thamani kwa wenye navyo. Kwa kiongoz wa africa lazima uambiwe huna maono!
Pili Mh Rais ktk hali isiyokuwa yakawaida kwa kiongoz wa africa, amewaambia matajiri walipe kodi na hataki mawe ya almas na kadi za kupewa michango toka kwa matajiri hili pia africa lazima uwe huna maono.
Tatu mh Rais amekataa sherehe na tafrija za kifahari kama rais nakupeleka mapesa yote kwa madawati na wagonjwa kwenye ma hosp. Kwa afrika huyu sio tu hana maono ila ni chizi hajuwi kuila nchi.

Mh Magufuli amekataa kujinufaisha yeye na familia yake kwa mara nyingine tena huyu hawez kuwa na maono, wakat wenzake wanawapa tenda na miradi mikubwa familia zao yeye anatoa tenda kwa mashirika yenye viwango na ubora wa kimataifa no more richmond. Lazima lowasa mguno wake uwe mkubwa eti Rais hana maono!
Kuzuwia safari za nje na kukata matumiz ya ovyo ambayo hata Rwanda anaiga ni lazima lowasa aseme mkubwa hana maono.

Tusi hili ambalo limejificha ktk lugha nyepesi ndio mwanzo na mwisho wa matusi kwa Rais wetu maana baada yajipu kutumbuliwa atakuwa raia mwema mwenye mapenz mema kwa mifugo yake Monduli.

Napenda kumwambia mh Lowasa wa tanzania sio wajinga kiasi hiko anafikiri, wala watu hawajapofuka kwa vijisent vyake taifa hili limepata mwana mapinduzi wa kweli ndani ya chama cha mapinduzi. Hatuna rais asie na maono kama ukawa! Ila tuna genius president ambaye dunia nzima wanamtaja. Ukienda Europ wanalitaja jina Maguful, Africa chanel zote kubwa anatajwa, Asia ndio usiseme, Amerika yote na Australia New president of Tz ndio habari ya mjini. Kwanini? Kwasababu anamaono ambayo hata wazungu wanaogopa. Mungu ibariki Tz pamoja na rais wa jamuhur ya muungano wa Tz Dk Magufuli. Amen

By TumainiE

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ila bado anaisha na majipu mungu amuongoze awatoe wahujumu uchumi wote

    ReplyDelete
  2. watanzania wenye kupenda amani tunakuombea rais wetu JPJM pamoja na serikali yako

    ReplyDelete
  3. pumbavu, acha kukuza mambo,. kitumbua we.

    ReplyDelete
  4. lowasa sema sema usiogope sema sisi vijana hatuogopi vibaraka sema!

    ReplyDelete
    Replies
    1. ZUMBUKUKU KAMA HUYO LOWASA MAANA HUJIELEWI, ASEME NINI WAKATI ANAONGEA UPUPU MTUPU, ANAFIKIRI ATAENDELEZA UFISADI WAKE HAPA??? YEYE NDIYE AMBAYE HANA MAONO PUMBAVU SANA WEWE

      Delete
  5. Mpe huyu baba. Anafikiri watanzania mazumbukuku kama yeye. Watu wameamka bwana apeleke uzumbumbukuku wake huko kwenye mifugo yake. Aliyodai ataichunga. Na atuachie Raisi wetu Magufuri mwenye maono na kumuogomba mungu na mambo ya ulimwengu huuu. Lenyewe ndio halina maono jizi na fisadi limeiba sana tu mpka watoto wake nao wamo baba yao alivyokuwa kiongozi ni wizi tu. Hii ndio mijitu iliyojaa Afrika na Tanzania ndio maana maendeleo hakuna kazi ufisadi.wizi na rushwa kutunisha matumbo yao na ya watoto wao. Hebuuu hukoo atupishee siee

    ReplyDelete
  6. TuaminiE hongera kwa kupasua jipu maana tumechoka na kina Lowassa hawa wapo wengi bado wanafikiria wadanganyika walewale wa zamani sasa ni watanzania wanajitambua

    ReplyDelete
  7. swali la msingi analotakiwa kutujibu mheshimiwa Lowassa ni vitu gani vilivyopelekea amuone hana maono? maana anaweza kuwa right.

    ReplyDelete
    Replies
    1. tena atujibu haraka kabla hatujamtoa hayo macho na mvi zake ambazo hazina afya

      Delete
  8. ANGALIZO KWA UKAWA,TUTAPOROMOKA HADI KUFIKA ASLIMIA 10 KWENYE MATOKEO YA UCHAGUZI 2020 KAMA MTAMUWEKA TENA LOWASA KWENYE KUGOMBEA URAIS.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aiseee hata mimi hilo naliona na linanipa woga.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad