Nay wa Mitego Amemdiss Gigy Money?Asema Hana Sura Nzuri Lakini Amejaliwa

Kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa video Queen anayetamba kwa sasa Gigy Money kwenda kwa rapper wa Shika adabu yako Nay wa Mitego kuhusiana na uhusika wake kwenye video ya wimbo huo.

Gigy ameweka wazi kuwa alipewa Shilingi elfu ishirini tu kutoka kwa rapper huyo kama malipo ya kutokea kwenye video hiyo na pia amelalamika kuwa walikubaliana yeye aonekane kwenye kipande kinachohusu wanachuo lakini baadala yake ameoneshwa kwenye kipande kinachohusu mwanamke mwenye sura mbaya.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahah elfi20 jamani nay ndo maana hawa watoto wanauza unga maana wanakimbizana na status za mademu wa mjini kazi amefanya malipo ndo hayo...kwann asiuze unga aendane na kasi ya jiji...muongezee bwana fanya hata laki na nusu hahahhah scene yake ngumu...

    ReplyDelete
  2. Hiyo ishirini nyingi elfu tano ya daladala na maji ya kunywa tosha kabisa yaani

    ReplyDelete
  3. nay kelele za bure masikini tu.

    ReplyDelete
  4. nay asikupe shida mbona kwa swala la sura mbaya na yeye sio mzuri, angeweka sura ya mama yake, sema kwao wamenyimwa vyote matako na sura hawana.. afadhali hata wewe una mvuto. kwa swala la ela aliyokulipa msamehe ela hana anajiropokea tu kama anayo basi ina mashariti si unajua ishu za wasanii wa bongo wanashinda kwa kina sangoma.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad