Nikki Mbishi Amchana Dogo Young Dee Kiana Kuhusu Matumizi ya Madawa ya Kulevya

Katika pitapita zangu Insta leo, nimekutana na picha ya Nikki mbishi aliyopost leo akiwa na Becka Title wanakula ugali. Caption ya picha hiyo inasema hivi "Huwezi kuwa mjanja ikiwa unapotea kwa madawa ya kulevya, halafu ndugu zako na washkaji zako wa karibu wanakuchana unawaona masnitch. Oya baba Marietha @beckatitle_tz tule ugali kuku bila kusahau maji mengi. Acha wazee wa #UjanjaUjanja wapotee.
Hii inaashiria kuwa tayari Beckatitle ashammwagia Nikki Mbishi ubuyu kuhusu Young Dee(Mzee Wa UjanjaUjanja) kuhusu kupotea kwake na madawa. Its the high time dogo abadilike awachane na madawa.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani kama huyu mtoto anatumia unga muokoeni jaman msipige vijembe daah nasikitika kijana mdogo kama young dee kuanza kula hayo madude jamni muokoeni ona ray c anavyoteseka sahv...tho huyu dogo akiulizwa anakataa kama anatumia unga...wazazi wake wako wapi wamkamate wafungie ndani maaana daah na yie wauza unga mlaaniwe we unayempatia huyu dogo unga iwe unamshawishi unamuonjesha au unamrubuni ulaaniwe pia...

    ReplyDelete
  2. Ofcoz kama dg anatumia ni bora akaacha tyu, coz atapoteza nafasi.

    ReplyDelete
  3. Ofcoz kama dg anatumia ni bora akaacha tyu, coz atapoteza nafasi asee da!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad