Picha: Mapokezi ya Lulu Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam (JNIA)

 Picha za mapokezi za Mshindi wa Tuzo ya AMVCA2016 kipengele cha Movie bora ya Afrika Mashariki elizabeth michael ‘Lulu’ wakati akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam (JNIA) akitokea Nigeria.


Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera toto umetishaaaaa mbaya

    ReplyDelete
  2. Hongera toto umetishaaaaa mbaya

    ReplyDelete
  3. Mkichukua oscar itakuwaje alafu categories yenyewe ya east africa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shukuru kwa kidogo kwanza,na ukijapata kikubwa usiridhike na uendelee kupigania zaidi na zaidi.

      Delete
  4. binti unastahili pongezi, hiyo ni changamoto ili ukaze zaidi uende hatua nyingine, ukivimba kichwa shauri yako!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad