Picha za Mwigizaji Rich Richie Alivyotua Airport Baada ya Kushinda Tuzo ya Filamu Nchini Nigeria

Usiku wa March 5 tasnia ya Bongo Movie iliingia kwenye headlines Lagos Nigeria, baada ya wasanii wawili kushinda tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, Single Mtambalike maarufu kama Rich Richie usiku wa March 6 kuamkia March 7 aliwasili Airport Dar na tuzo yake ya filamu bora yaKiswahili aliyoshinda Nigeria.


Aliyevaa kofia ni Prince na aliyeshika maua ni Darleen wote watoto wa Single Mtambalike.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hongera sana rich....ww ndo actor mwenye msimamo na haunaga scandle....tunajivunia ushind wako bro

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad