Picha,Nicki Minaj na Meek Mill Walivyokanusha Taarifa za Kuachana

Nicki Minaj na Meek Mill wametumia mtandao wa snapchat  kukanusha kuwa wameachana.

Picha hii ni miongoni mwa picha zilizosamba mtandaoni zinamuonyesha Nicki Minaj akiwa na Meek Mill kwenye pozi flani la kimahaba.

Mwezi uliopita Meek Mill na Nicki Minaj waliripotiwa kuacha sababu ya kifungo cha ndani cha Meek Mill kinachomuweka nyumbani kwake Philadelphia.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad