Rais John Magufuli Awaaibisha Wale Waliokuwa Wanasema Hajui Kuongea Kiingereza

Unapozungumza jina la Dr John Pombe Magufuli ni jina lilopata umaarufu sana duniani kote kuanzia mwishoni mwa mwaka jana baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo kwa sasa Dr. Magufuli (CCM) ndio Rais wa Tanzania awamu ya tano , Magufuli ni raisi mwenye busara, mvuto kwa jamii, weredi, jasiri,mwenye huruma na wanyonge,mzungumzaji mzuri(good speaker) na mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili (IQ and EQ).

Katika kipindi cha kampeni mwaka jana kulitokea uzushi uliosambazwa na wapinzani juu ya mgombea wa CCM hususani UKAWA kwamba mgombea wa CCM Dr. Magufuli hajui kuongea Kingereza. Uzushi huu ulienezwa kwa kasi na kufanya baadhi ya watu kuamini kuwa ni kweli, lakini kumbe sio kweli ilikuwa ni kutaka kumchafua kisiasa. Rais Magufuli aliposhinda uchaguzi na kuwa rais alianza kuwadhihirishia kuwa anajua kuongea kingereza pale alipokuwa anakutana na wageni mbalimbali Ikulu na kuzungumza nao kwa lugha ya kingereza na wapinzani hao kukaa kimya kwa aibu.

Katika mkutano wa 17 wa EAC Raisi Magufuli akiwa mwenyekiti wa mkutano huo AMEWAAIBISHA KABISA WAPINZANI WAKE KWA KUONGOZA MKUTANO WOTE KWA LUGHA YA KINGEREZA na kuzungumza kingereza fasaha kabisa kwa ujasili na ubora wake ule ule kama akiwa anazungumza lugha adhimu ya Kiswahili. Pia haikuishia hapo Rais Magufuli akawadhihirishia wana EAC kuwa yeye ni bora katika lugha kwa kuzungumza lugha zote za EAC kuanzia KIGANDA, KINYARUANDA, KURUNDI, KIJALUO, na kushangiliwa kwa makofi makubwa na wajumbe wa mkutano huo kwa uwezo wake huo wa kuzungumza lugha mbalimbali kwa ubora ikiwemo pia KINGEREZA NA KISWAHILI kwa ubora wa hali ya juu.

Sasa ujinga wa kusema Magufuli hajui kingereza utakuwa ni unyumbu kwani lazima ujiulize, je, leo Magufuli kashikiwa mdomo sio yeye aliyekuwa anazungumza? Je, alivyoongea watu walikuwa hawamsikii au?? Je, anavyokuwa Ikulu na wageni nyie Nyumbu ndio mnakuwa mnamsemea?? Je , PhD yake ninyi nyumbu ndio mliomsaidia kusoma ?? Ukitaka kujua wewe ni Nyumbu sema tena Magufuli hajui ongea kingereza wakati EAC wote wamejionea wenyewe Jembe JPM akiunguruma Ngurudoto na kutumbua majipu ya EAC kwa kutumia kingereza, kwa kweli ukisema tena Magufuli hajui kingereza utakuwa nyumbu tu , maana utakuwa huna akili bali wewe una yako mengine au wewe ndio hujui kingereza.

Kweli Magufuli ni GIFTED LEADER tulienaye Tanzania , Tumuunge mkono na kumuombea kwa Mungu amlinde azidi kututumikia watanzania wote kwa ubora na weredi, leo kadhihirisha kuwa viongozi bora Afrika wataendelea kutoka Tanzania. HONGERA MAGUFULI KUONGOZA VIZURI MKUTANO EAC NA KUCHAGULIWA TENA KUONGOZA EAC KWA MWAKA MMOJA ZAIDI.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. By the way,what is kingereza mbele ya uongozi mzuri?
    Wenyewe sie huku kenya tumeona imekuwa vizuri
    mwenyekiti kuwa wa kusema HAPA KAZI TU kwa sababu itakuwa
    HAPA KAZI TU EAC,good start JPM.

    ReplyDelete
  2. Kwenye uchaguzi uliopita pande zote mbili zilichafuana. Nikawaida tu.msilete ujinga na nyi waandishi.ni vizuri tu kama anamwaga kimombo sawa. Lakini mara moja alisikika kubabaika alipotoa ahsante kwa mfadhili. Ni hapo hili jambo lilizuka.so mnachokiandika hapa hakina maana sana. Ndoyo ana sifa pia anamapungufu. Mwambia awatumbue maraisi waliopita bila kuwaonea haya. Ni majipu wakuu . Asiwaweke kwapani na kuwatumbua wapembeni. Nitamsifu akiwatumbua watu wa ESCROw na maraisi waliotupeleka hapa tulipo.hamjiulizi anayotumbua yametoka wapi na nani ameyasababisha. Leo anawatumbua wasaliti wa ccm kawaachia huru mafisadi wakuu kwa nini hamandiki hili mojakwa moja. Mnapapasa tu.kama wO maraisi hawahusiki miaka kumi hawakujua kama hawahusiki ni nini sasa.haya ni muhimu kuliko kiingereza cha Magufuli. Shame on you guys na vichwa vyenu vya habari. Andikeni mnayowafichia maraoisi waliopita, hujuma, na katiba ya Warioba. Haya ni mambo makuu ambayo Taifa linamwangalia na kumsubiri Magufuli ayatumbue na Amani Zanzibar.

    ReplyDelete
    Replies
    1. anony wa 1.30pm yaani katika nwajinga na wapumbavu wewe ni mmoja wapo na hata ulichokiandika hakisomeki na wala hakina mashiko na inavyooneka wewe ni mmoja wa jipu au kuna ndugu yako ameshatumbuliwa. swala la kiingereza cha JPM kiliongelewa sana kwamba hajui mbona unatoka kwenye madaaaa???? hayo ya escorow na mengine yote JPM anayafahamu ni swala la muda tu, hata rome haikujengwa siku moja na kuna siku mtashaanga atakapokuwa anatumbuwa majipu ambayo hamkuyafikiria kwa acha umburura wako we chizi

      Delete
    2. Yes!iam from kenya but i'm happy kuwa na Magufuli ndani ya EAC.My parents walizaliwa TZ enzi wanafanya kazi POSTA NA SIMU,kulikuwa na umoja,mkenya anafanya kazi tz au uganda na mtanzania anafanya kazi kenya or uganda.
      Lets wait for new EAC chini ya Magufuli.God bless our leaders.

      Delete
  3. eti nyumbu??!!wewe mwandishi Makala hii bado upo kwenye kampeni nini?inawezekana mizimu ya lowasa bado inakuandama kima wewe.

    ReplyDelete
  4. Jamanai msichangie tuu, hivi mnajuwa katiba inasemaje kuhusu maraisi wastaafu? halafu inaonekana wengine wana jaziba, huwezi kumfuraisha kila mtu anavyotaka hiyo haiwezekani, hata hao wakitumbulwa mwingine atasema lake na mwisho wa siku cha muhimu yanayochukuliwa hatua ni muhimu kwa umma wa watanzania na siku chache kila mtu mwenye macho aambiwi tazama. Wenye mlengo na mtazamo tofauti wasubiri itakapobadilika dunia.Endeleeni kusubiria.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad