Web

Rais Magufuli Amuapisha Balozi Eng. John William Kijazi Kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Top Post Ad


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Eng. John William Herbert Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Kijazi anachukua nafasi ya Balozi Ombeni Sefue ambaye atapangiwa kazi nyingine.

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu Ashari joseph mpuuzi. Asirugusiwe kutoa huu utimbo.

    ReplyDelete