Rais Magufuli amesema kuwa IPTL ni mkataba wa hovyo na Serikali yake hautaendelea nao.
Rais John Magufuli ameyasema hayo wakati akizindua ujenzi wa kituo cha kufua umeme wa Megawati 240 cha Kinyerezi II Dar leo.
Rais Magufuli: IPTL ni Mkataba wa Ovyo, Serikali Haitaendelea Nao.....
4
March 16, 2016
Tags
Hapo sawa okoa jahazi mkuu maana hakuna jinsi
ReplyDeletebora maana kuna majambazi yalikua yanafaidi hapo
ReplyDeleteBora kama umelijua hilo jpm
ReplyDeleteSospita Muhongo ni mwizi na ni jipu kubwa linangojea kupasuka
ReplyDelete