Rais Magufuli: IPTL ni Mkataba wa Ovyo, Serikali Haitaendelea Nao.....

Rais Magufuli amesema kuwa IPTL ni mkataba wa hovyo na Serikali yake hautaendelea nao.

Rais John Magufuli ameyasema hayo wakati akizindua ujenzi wa kituo cha kufua umeme wa Megawati 240 cha Kinyerezi II Dar leo.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapo sawa okoa jahazi mkuu maana hakuna jinsi

    ReplyDelete
  2. bora maana kuna majambazi yalikua yanafaidi hapo

    ReplyDelete
  3. Bora kama umelijua hilo jpm

    ReplyDelete
  4. Sospita Muhongo ni mwizi na ni jipu kubwa linangojea kupasuka

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad