Leo asubuhi Mkuu wa Nchi Rais John Pombe Magufuli amepiga simu kwa kusuprise kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV huku kikiwa hewani na Kuwaambia kuwa yeye na mkewe ni washabiki wakubwa sana wa kipindi hicho..amesema yeye na mkewe kila asubuhi huwa waangalia na kufurahishwa sana na watangazaji hao....Mkewe naye aliongea na kusema huwa anacheka sana kwa vituko vya watangazaji hao wakati wakichambua habari mbali mbali ....
Sasa ni rai kwa waandishi kufanya kazi mkijua rais wa nchi anafatilia utendaji wenu wa kazi wa kutuhabarisha wananchi na huwenda mambo mengine anayajua kupitia vipindi vyenu.
Hongera wana Clouds 360.....
Rais Magufuli na Mke Wake Wamekifagilia Kipindi cha 360 cha Clouds FM..Wapiga Simu Laivu Wakiwa Hewani Nakusema Haya
10
March 17, 2016
Tags
NAWAPENDA SANA MR&MRS MAGUFULI.MUNGU AWABARIKI.
ReplyDeleteHadi raha,mwenye kiwanda na ubavu wake wametutolea bonge la tabasamu.Penda sana.
DeleteNilitokea kumpenda mama Janeth tangu wakati wa kampeni.Ukimuona na kumsikiliza tu unajua mama ni
Deletemalkia wa nguvu,hana maneno ya shombo kama ya nanihi......
Yani mama nanihii..... alikuwa ana kiherehere mpaka alithubutu kuchana bendera(kanga sijui)ya CCM,INAHUSUUUU?AU ALIKUWA ANAIGIZA TU?HIVI KWELI KIONGOZI AU MKE WA KIONGOZI AWE MPASHKUNA HIVYO?HAIPENDEZI
Teh!teh!teh!teh!teh!teh!
DeleteTunawapa hongera clouds TV lakinin pia naomba nitoe ushauri.
ReplyDeleteKabla ya kusoma habari zenu kuwepo na timu ya kuzikagua na kijiridhisha kitakachosomwa. Maana mara nyingi majina ya watu wanaohojiwa katika habari kuwa yanaandikwa kwa kusosewa saana, halafu wiki kama moja hivi iliyopita katika taarifa ya habari moja mtangazaji alitamka tukio fulani lilifanyika "Wilayani Geita Mkoani Mara". Hivi kweli woote walioipitia hiyo habari hawajui kuwa Geita ni mkoa tofauti namkoa wa Mara? Au wote hamkuliona hilo kosa?
Basi muwe mnaweka namba ya maoni ili tunaopenda kuangalia Taarifa zenu tuwe tunawashtua. Yangu ndo hayo.
Kukosea ni kawaida kwa kila binadamu, hata wewe hebu isome tena hiyo makala yako uone jinsi ulivyokosea kuandika neno 'kukosea' umeandika 'kusosewa', tuvumiliane jamani, ukiwamsikilizaji au msomaji jiongeze, utaelewa tu
DeleteWachawi nyie clouds,yaani mmeongea na mkuu wa nchi hivihivi tuu?
ReplyDeleteAaaaah nawaonea wivu.
MAGUFULI NAMKE WAKE NI WATU WA WATU.
ReplyDeleteClouds wazuri,mie wananipagawishagaa kweli.
ReplyDeleteMimi cjutii kura yangu. Mungu awaweke miaka 100
ReplyDelete