Flora Mvungi Jana Amewashukia Baadhi ya Bongo Movies wenzake kwa kuendesha kampeni ya chini chini wasiende kumpokea lulu Michael na Kumpongeza Airport Mara baada ya Kurudi na Tuzo toka Nigeria.....
From @florahmvungi - IMENIUMA KUKOSA KUKUPOKEA MANA SIKO DAR ,,KWANZA HONGERA SANA SANA..@elizabethmichaelofficial SANA..HII TUZO C YAKO PEKE YAKO NI YA TANZANIA UMETUWAKILISHA VYEMA KABISA NA UMEFUNGUA NJIA KIUKWELI ASIYEKUBALI ATAKUWA NA TATIZO ILA KUNA KITU KIMETUUMA SANA NAJUA WAPO WANAONA NA WATAJIFUNZA KITU KWA MTAZAMO WETU HATA KAMA HAUKO KWENYE CHAMA FULANI HAIKUPASWA KUWA HIVI,,SHERIA ZINAVUNJWA NGAZI ZA JUU ITAKUWA KWENYE VYAMA VYA SANAA..ETI WANADIRIKI KUSEMA HATUWEZIKWENDA KWAKUWA C MWANACHAMA WETU JAMANI HEBU TUWE NA FIKRA PANA BASI HATA KAMA ILA ALICHOKIFANYA LULU HESHIMA ALIYOTULETEA TANZANIA HATA WEWE INAKUHUSU KWAKUWA LEO HII HATA WEWE ITAKUWA RAHISI KUFIKA HATUA NYINGINE KUPITIAHUYO UNAYEMUITA SIO MWANACHAMA WAKO..SIJAPENDA NA MY DADA @riyamaally AMELIA KWA UCHUNGU NDO KABISA HADI TUMELEFT GROUP LAO..IT'S NOT FAIR..NIMEGUNDUA KWELI HATUPENDANI HALAFU WAZIWAZI DAH ILA WENYE ROHO MBAYA HAWAFANIKIWAGI ASILANI..@elizabethmichaelofficial keep up your good work darling haya mengine ni changamoto tu za maisha...@elizabethmichaelofficial
UJUMBE UTAKAA NUSU SAA HAPA BASII
Rihama Ally na Flora Mvungi Wasikitishwa na Kitendo cha Baadhi ya Wana Bongo Movies Kukataa Kwenda Kumpokea na Kumpongeza Lulu Michael
2
March 09, 2016
watanzania tuache uparasite hiyo tuzo ni ya lulu
ReplyDeletena si ya watanzania
hii ni dunia ya ubepari na sii ujamaa tena
big up lulu ni jasho lako sas hawa wanaanza kukuambia tuzo ya watanzania hawana nia nzuri
wabongo tunajivunia kuunganishwa na lugha mojavila ukweli
ReplyDeletetunaa tabia moja mbaya hatupendi kuona mtu akifanikiwa
yani unakuta mtu anamwonea wivu mpaka ndugu yake wa damu