Serikali ya Tanzania Kuingiza Nchini Ndege 2 za Kisasa Kutoka Canada Ndani ya Siku 60

Serikali ya Tanzania imeingia makubaliano ya ushirikiano wa anga na Serikali ya Quwait. 

Makubaliano hayo yatawezesha mashirika ya ndege ya nchi zote mbili kufanya safari za moja kwa moja na kukuza sekta ya utalii.

Wakati hayo yakijiri, Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi imethibitisha kwamba imeagiza ndege za kisasa kutoka nchini Canada ambazo zinatarajiwa kuwasili nchini ndani ya siku 60 (miezi miwili ijayo).

Kwa kuanzia, awamu ya kwanza ya ndege hizo zitafanya safari za ndani bara na visiwani kabla ya kujitanua ndani na nje ya Afrika.

Shime watanzania, tusimame kidete na serikali yetu kuhakikisha kwamba tunaachana na unyonge wa kutumia ndege za mashirika ya nchi jirani. Hii ni fursa nzuri ya uwekezaji katika sekta ya chakula, nishati, vinywaji n.k.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapo sawa maaana tutasafiri na ndege zetu

    ReplyDelete
  2. Jamani kuandika Ni fani..je Quwait Ina manisha Kuwait??? Naomba tukiandika tuwache madoido.. Kwani inaweza poteza maana Na kusudio.... Kuhusu kuinguza ndege Ni jambo zuri Sana lakini tumejozatiti vipi toka TCAA mpaka operator Air Tanzania nrw board of directors Na logistical radiness? Maint and threshoulds ith conjuction of airworthiness limitations.. Is our home work done??!! we can maintain and run....We are there in the event of consultation if required to support and achieve the drems of Hapa Kazi Tu with JPJM.....ENDELEA BABA TUPO PAMOJA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haya itabidi wazima wa mawasiliano na uchaguzi a under tume ya watu maharishi na useful way haya mambo ambayo pale a walid tulichemsha! !! Lakini with JPJM Nathan I mambo anaweza kutapika sawa kutoka na na utashi anao tuonesha wa RIGHT PERSON ON THE RIGHT SEAT..HAPA KAZI TU

      Delete
    2. si unaonaje Fast jet hasimami yake!!! Basi yetu hii..itabidi tuliza titi. ..na kulifanyia kazi ipasavyo

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad