Shabiki wa Ali Kiba Instagram Aponda Show ya Kiba Nigeria..Autupia Lawama Uogozi


Shabiki wa Kiba anayejiita @kiba_for_real Huko instagram mambo yamemfika shingoni na kuamua kusema haya:

"Leo naomba fans wenzangu wa alikiba mnisamehe nitaongea kinachoniuma,1.ivi king Kiba alipokuwa Nigeria alikuwa na uongozi wake? Na kama walikuwepo walihusika vip na maandalizi ya show ya king? Jamani wakati mwingine tuwe wakweli anapokosea sio tuwe tunasifia wakati kukosea alie iona ile show kama Ana mapenzi ya dhati na king Kiba Kuna mapungufu makubwa aliaona mfano sauti vyombo vilikuwa havisikiki vizuri Kiba mwenyewe alikuwa anaimba kama vile a naogopa yaaaani kama underground wakati ni msanii mkubwa Africa. Ndugu hapo ndio domo anatuzidi kwenye uongozi Hilo lilikuwa jukumuu Lao ivi wanageria watampa Tena shavu? Ilikuwa nafasi ya pekee kwa alikiba kuwa onyesha wa Nigeria kuwa Tanzania Kuna mtu muhimu kama yeye lakini show ikawa imedorora kama msanii mchanga, management ya king Kiba haifai kabisa wooote watolewe au Wana njama maaana show Za live Za king hapa bongo kila mtu anajua ni shidaaa hadi Domo anakimbia kiukweli show ya juzi tusimsifie ilikuwa mbovu mno wadau tueleze ukweli "

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hamna jema binadamu

    ReplyDelete
  2. alokutuma mrudishie salama antengeneze kingine ila hii sio kweli umechemshaaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  3. UNGEENDA WW UKAIMBE HANITH AFRIT.

    ReplyDelete
  4. Hivi viombo havisikiki ni kazi ya kiba au ya sound engineer .. Huna point wewe

    ReplyDelete
  5. KATUMWA HUYOOO NA ULIONA MNA MSEMA SANA KIBA MJUE ANAWSUMIZA KICHWA,,,KAZI ANAYO HUYO ANAE JIITA SHABIKI WA KIBA.

    ReplyDelete
  6. Na ndo maana amesema uongozi hawa kufanya vizuri! Mjitahidi kusoma na kuelewa sio kujibu utumbo.kama amumkosoi atajuaje kama amekosea? Ndo maana anazidi kupotea na kujiona yuko juu kumbe ndo anazidi kushuka na kupoteza kipaji chake kwa ajili yenu mnaoshabikia ujinga. Show ilikuwa mbaya sana kama ujaona kaangalie upya.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad