Shamsa: Mkongo wa Wolper,Wema Amenitongoza

STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford juzikati alimwaga ‘ubuyu’ hadharani kwa kusema kwamba, yule jamaa Mkongo ambaye amekuwa akidaiwa kutoka na Wema Sepetu, Jacqueline Wolper amemtongoza.

Akizungumza na kona ya Bongo Movies Shamsa alisema, hivi karibuni alienda saluni na kukutana na ujumbe wa Mkongo wa Wema, Wolper ukimuhitaji kimapenzi jambo ambalo lilimuudhi sana.

“Hii si mara ya kwanza kunitongoza kwani nakumbuka kuna siku mtu aliniomba namba ya simu na baadaye nikapigiwa na huyo Mkongo akinihitaji hotelini kuongea mambo ya filamu nikamwambia amtafute meneja wangu akakataa na kung’ang’ania niende mimi nikakataa,” alisema Shamsa.

Chanzo: GPL

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa maelezo hayo ili iweje sasa?

    ReplyDelete
  2. Kwa dental formula ipi utakwe kihivyo kwa hayo meno ka punje za mahindi au

    ReplyDelete
  3. Huo muda ungeenda gym

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad