Tanzania: Tupo Kwenye top 10 ya Nchi Zisizo na Furaha Duniani

Denmark imechukua nafasi ya Switzerland kama nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mujibu wa ripoti iliyotoka Jumatano hii.

Ripoti hiyo imeandaliwa na ‘Sustainable Development Solutions Network and the Earth Institute’ katika chuo kikuu cha Columbia.

Ilionesha kuwa Syria, Afghanistan na nchi zingine 8 zilizopo chini ya jangwa la Sahara ndizo sehemu zisizo na furaha zaidi. Nchi hizo ni pamoja na Madagascar, Tanzania, Liberia, Guinea, Rwanda, Benin, Togo na Burundi.

Nchi 10 za juu zenye furaha zaidi ni Denmark, Switzerland, Iceland, Norway, Finland, Canada, Uholanzi, New Zealand, Australia na Sweden.

Nchi tano duniani, Bhutan, Ecuador, Scotland, UAE na Venezuela zimeteua mawaziri watakaoshughulikia ukuzaji wa furaha.

Tanzania tuna matatizo gani? Kuna umuhimu wa Magufuli kuanzisha wizara kama hiyo pia?
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kwa ajili ya mafisadi wezi wala rushwa, kila sehemu mpka utoe chochot ndio upate, huduma mbovu za jamii, hasa enzi za utawala uliopita ulitopea kwa hayo na umasikini uliopitiliza kwa wengi, kiasi kwamba wengi mlo mmja tu kwa siku, furaha itatoka wapi?

    ReplyDelete
  2. Mabaya yote yanatupiwa nchi zetu .sio kweli.kwa vile wao ndio wanaotoa ripoti hizo.Mbona hawasemi nchi gani inaongoza kwa Wasenge duniani

    ReplyDelete
  3. matajiri wachache waliojichukulia hela walipokuwa madarakani na hakuna hatua zozote walizochukuliwa wakati asilimia kubwa wakishinda njaa mchana kutwa na wengine wakifanyishwa kazi za suluba malipo kidogo serikali umefumbia macho miaka nenda rudi furaha itatoka wapi?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad