Tazama Picha za WEMA SEPETU Alivyopamba Mapokezi ya Lulu Michael Jana Kutoka Airport.....

 Kwa Mara ya Kwanza toka habari za ujauzito wa Wema kutoka Jana Amejitokeza hadharani kumpokea rafiki yake Lulu Michael Alipowasili kutoka Nigeria akiwa na tuzo mkononi..Wema Alipendeza Sana na kuonekana mwenye furaha muda wote wa msafara......


Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bonge la demu wema hata mimi nikiotea bilioni 100000000000 namtafuta

    ReplyDelete
    Replies
    1. All the best lakini vihela vikianza kwisha itabidi usepe. Bb muuza nyapu haangalii makunyanzi. Kama huamini muulize Idriss.

      Delete
    2. Kaona Lulu anazidi kupanda kaamua na kwenda kutafuta kiki airport. Utaishia kupokea wenzio tu. Kidagaa kimekuozeajeee

      Delete
    3. Enzi za Dai alikuwa anajiita wife to be. Hahahah. KWA CK alikuwa anajiita mchumba. KWA Idriss alikuwa anajiita wife. Hakuna mwanaume mwenye akili timamu atakuoa Wema. Utabaki kuwa kitabu cha wanaume. Mwenye dau ruksa kukifungua.

      Delete
    4. Oneni mitako ya Wema. Haina hata muelekeo. Loo. Imetawanyika kila pembe. Chezea tigo wewe. Shepu kwishnei. Limekaa kama limama lake. looo

      Delete
  2. Jamaani hivi tuseme Tanzania hakuna warembo wazuri!? haipiti siku mbili bila kusoma habari za Wema Sepetu kila mtandao wa kijamii habari wema sepetu khaa.... hivi hamuoni mnampa credit huyu limama, nimejaribu kuangalia kila idara za huyu Wema lakini sikupata Jibu.
    Mimi binafsi namuhisabu lichangudowa mkubwa sana, umaarufu alioupata hadi vigogo wa serikalini kila mmoja anataka kumuonja.
    Mbona Tanzania kuna wadada wazuri sana sana lakini cha ajabu nini haswa kwa huyu Wema??
    Kuna mshairi mmoja kule visiwani aliandika mshairi kuhusu dada fulani, '' Hasa hasa kwa uzuri gani? mbele zero nyuma hakujulikani, baraka za wanja kujipakaza machoni, si wa sura si wa nywele si wa ujuni ( macho).

    ReplyDelete
    Replies
    1. tutumie picha yako na wewe tukuone lunyani monkey. wivu mbaya jamani. unaumia mpaka mkunduni kwa kusikia jina la wema. utakufa kwa presha.

      Delete
  3. Dongeeeeee bahati ya mwenzio usilalie mlango wazu fyuuuu

    ReplyDelete
  4. Wema hakuwa mjamzito, ni kiki tu za kumliza Diamond tatizo Wema hata ufanye nini Diamond harudi tena kwako, mara ukajifanya umefunga ndoa na ukapiga picha na gauni la harusi, mwenzako Diamond kakaa kimya, wakati Diamond kakutana na Zari kwa mara ya kwanza ukazani wana projekt na hiyo projekt unaifahamu haya wee project ikageuka Zari akapata mimba he he eti unaijua hiyo project Diamond kwa Zari amefika hata ufanye nini Diamond alishamchoka Wema niliona picha zenu kabla muachane yaani Diamond alionekana hana mapenzi na Wema hata kidogo ni wema tu ndiyo alikuwa anajipendekeza kwa Diamond sasa hivi ukimuona Diamond akiwa na Zari anaonekana ni mtu mwenye furaha sana Diamond yuko in love with Zari.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi we choko, hebu kamuulize huyo domo, kati yake na Wema ni nani alomwacha mwenzie, sio unachonga eti harudi tena kwa Wema, alikwambia anamtaka?? Kama angemtaka wala hasinge mpiga kibuti....Wema yuko juu utake usitake, akikaa kimya dunia inatulia, alipojitokeza hadharani we mwenyewe umeona kilichotokea....USIMWINGILIA, ALOPEWA KAPEWA....UPO

      Delete
    2. Alitoka kwa Dai baada ya kuambiwa kuwa ndoa haitakuwepo. Ndio akajidai kususa akiamini Dai atarudi kama enzi zileee za akina Peni na Jokate. Kama kupewa kapewa utasa uongo uchangu..Alinunua nyumba mil 280. Wakati luku na maji vinamtoa kamasi. Alijizushia kaolewa kumbe ...Alijizushia ana mimba kumbe matambara. hahahahahaha

      Delete
  5. Tatizo nyota@9.31.Wapo vyangudoa na hawaonekani ktk mitandao.

    ReplyDelete
  6. KWANZA SINA TIMU YEYOTE COZ DAI NA WEMA WOTE SIWAJUI ZAID YA KUWAONA KWENYE TV NA BROG ZA UDAKU ILA NIMEGUNDUA KUNA MAMIKUNDU HUMU NDANI LIKIONA PICHA YA WEMA AU DAI LINAANZA KUTUKANA BILA KUANGALIA POST INASEMA NINI WATU TUNAONGELEA MAPOKEZI YA LULU WEWE UNA COMMENT WEMA MBAYA ALIJIPENDEKEZA KWA DAI WEWE WAKATI ANAJIPENDEKEZA KAMA ULIKUWEPO KWANINI USIPENDWE WW. UKIONA PIC YA DAI MALA OOH KABEMENDWA HIVI HUWA MNAWASHWA NINI LAIT TUNGEYAJUA MAISHA YENU NYIE MBUZI HATA MSINGEKUWA MNACHANGIA CHOCHOTE HUMU NDANI MB ZA KUHONGWA NINI MANINA ZENU FANYENI YENU WAACHENI WATOTO WA WATU.

    ReplyDelete
  7. watu wote wanajua kuwa ni Diamond ndiyo alimuacha Wema we nani angekubali demu wake apewe gari la BMW na bwana mwingine? Wema hawezi tulia na mwanamme mmoja hata siku moja na wala hataki kuolewa sababu anajijua mwenyewe hawezi kutulia na bwana mmoja na wala hapendi kufanya kazi sababu anataka wanaume wamuhonge hela tu, sababu nyota anayo angeweza kufika mbali kama Lulu lakini yeye mwenyewe Wema hana muda wa kutumia nyota yake yeye anataka kuhongwa hela tu na wanaume na ni wengi tu kuanzia vigogo mpaka mkongo man. he he

    ReplyDelete
  8. Jamani watanzania kweli hamna kazi za kufanya mpaka mnaishia kutukana watu kwenye mitandao namna hii?mnalipwa sh ngapi?ndugu zenu wanao fanya mabaya zaidi ya hawa ni mangapi wacheni hizo bhana ni kitu kibaya sana kumsimanga mtoto wa mwenzio wakati na nyie mna vizazi ,hapo kosa ni nini?kamtukana nani?mpaka mnatiririka matusi namna hii?why nyie kama team hamna maadili?mbegu mnazopanda humu ndani zitaota mpaka kizazi cha tatu na cha nne cha familia zenu,mliambiwa msihukumu msije mkahukumiwa.Nawasihi watanzania acheni matusi acheni kuwakashfu watu kwenye mitandao namna hii,mkiona wana mambo mabaya waombeeni mjue kwa maombi yenu watabadilika ila mnapofurahi na kutusi mnajiongezea dhambi kama mmekerwa na post zake kaeni kimya,sio lazima kutukana kama ni kahaba mchafu muombeeni na pia muwaombee hao ndugu zenu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad