Ukitaka Kupata Msongo wa Mawazo Mpaka ufe oa Hawa Wafuatao

1. Mama mwenye mtoto/watoto aliyeachika akiwa kwenye ndoa

2. Mwanamke aliyeachika ndani ya ndoa

3. Mwanamke yupo karibu mitandao yote ya kijamii, hakuna habari ya kimbea yeye anapitwa (Tena siku hizi WhatsApp wanawake hasa akina dada wana magroup, hadi migegedo ya saizi mbalimbali wanatumiana)

4. Mdada aliyeenda umri halafu anaishi gheto ( Hawa mara nyingi wamekubuhu, hadi wanaume wakwere wanawakwepa, wadada hawa hujifanya social, wana msururu wa marafiki wa kiume, mara nyingi hit and run kwao ni kawaida)

5. Mdada unayemtongoza siku moja, ya pili au ya tatu ukimwita kwako, anajileta. Kumbuka wewe sio wa kwanza kumtongoza, wewe labda ni wa hamsini.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. manyumbu!!! kuoa na kuolewa hawalazimishi ni hiyari ya muoa au muoaji kumuoa au kuolewa na amtakaye ndio maana dai kamuoa zari wala hayo husemayo hawayajui ni wewe tu na mada zako za kitoto tumewaona kibao na maisha wameyapatia kikubwa real love.

    ReplyDelete
  2. Diamond kaoa lini? na uongo wako,lol

    ReplyDelete
  3. ujinga mtupu. hao wasio na watoto ndio kichwa kuuma mpaka basi. bora waliowahi kuolewa wengi wanakuwa wameshatulia

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad