Unene Wamkosesha Raha Wema Sepetu, Aacha Kupost Picha zake Instagram Kwa Miezi Mitatu

Wema Sepetu ameacha kupiga picha na kuzitupia Instagram kutokana na kunenepa sana, na zoezi hilo litakwenda hadi hadi mwezi June.

Kupitia Instagram , Wema ameandika.

About Yesterday… Tulivyoalikwa na Makamu wa Rais… Mama Kipenzi… Mama Darling…. Mama Samia Suluhu Hassan… Ni hii tu naipost sababu nampenda sana Huyu mwanamke… Ila sasa hivi sijui nijifungie tu ndani maana zoezi la mpaka June ni Kubwa…. Haiya na msisahau kunipa na ushauri wa dawa gani za kutumia nipungue sio kwa ubonge nilionao sasa… But nat my fault ni fault ya vile vitwins vyangu vile Weightloss imekuwa ni ngumu sana kwangu… Wat do I dooooo….?? Mashavu, Mamikono, Minyama… Mtumbo….!!! Nilisema mpaka June atleast nijitahidi kupungua ila sijui ni nini hiki… Hel

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. alikuwa na mapacha, unafikiri angekuwa mwembamba.

    ReplyDelete
  2. he!!! kumbe lulu ni short hivyo? au naye kanenepeana? suluhisho ni jim, piga zoezi, acha pombe!

    ReplyDelete
  3. Ana mimba huyu asitudanganye bwana!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad