Utata wa Filamu ya Lulu Michael Iliyoshinda Tuzo Nigeria..Wizara Yatoa Tamko Hili Hapa....

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kumekuwa na minongono mingi kutoka kwa baadhi ya wananchi kuhusu Filamu ya Mapenzi ya Mungu ya msanii Elizabeth Michael (Lulu) iliyoshinda tuzo ya Filamu bora Afrika Mashariki mapema mwezi huu huko Lagos Nchini Nigeria katika tuzo za African Magic Views Choice Award (AMVCA).

Ili filamu ikamilike inahusisha watu mbalimbali wanaoshirikishwa kukamilisha filamu kuanzia mtoa wazo ambaye wazo hilo huwekwa katika mswada na mtaalamu jambo ambalo haliondoshi umiliki wa filamu.

Tunapenda kuufahamisha umma kuwa mmiliki halali wa Filamu ya Mapenzi ya Mungu ni Msanii Elizabeth Michael (Lulu) na ndiye aliyepata tuzo kwani ana haki zote za kupata tuzo hiyo kama mmiliki halali wa filamu hiyo.

Filamu ya Mapenzi ya Mungu imetengenezwa chini ya kampuni ya Proin Promotion na imesajiliwa kwa namba ya usajili CO831190.

IMETOLEWA NA
WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hana lolote kahaba huyu....hiyo amependelewa tu tena baada ya kusimamiwa na jamaa ambaye mambo yake si haba......mara 2000 wangempata tuzo hiyo jack wolper, riyama ally, sepetu au ndauka kuliko huyo ambae kaz zake ni za kawaida sana ....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wolper ndauka na riyama Ni sawa lakini bahati haikua Yao, huyo sepetu Wako tengeneza tuzo yako ukampe hasa ya drama, sepetu kwa movie gani ya maana aliyofanya, acha wivu, lulu kastahili kwani yupo kwenye game muda mrefu na anajua kubeba uhalisia akiwa kazini. Kama imekukera kale nyembe, hao unaowatetea hakuna hata mmoja anaelalamika sanasana ndio wanaongoza jamii kumpongeza mwenzao, kazi kupandikiza chuki Tu lione

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad