Web

Utumbuaji Majipu:Inashangaza Mpaka Sasa Alietumia Document Fake Kuzuia Uchaguzi wa Meya Dar Hajasimamishwa Kazi

Top Post Ad

Inashangaza sana hii serikali ambayo tunaambiwa imedhamiria kurejesha nidhamu ya watumishi wa umma mpaka sasa haijamsimamisha kazi mtumishi alietumia document isiyostahili(fake) ya Mahakama kuzuia uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar-es-salaam ili nae apishe uchunguzi kama wengine.

Wacha tusubiri lakini nimekumbuka msemo wa Kiswahili usemao: "njia ya muongo ni fupi."

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mfumo wa utawala wa Tz chama tawala kina nguvu kuliko serikali,na siku zote maslahi ya chama yamekuwa mbele kuliko kitu kingine.......sidhani kama kutakuwa na utumbuaji majipu hapo

    ReplyDelete
  2. HAYA MAJIPU YANATUMBULIWA KWA WANYONGE AMBAO HAWANA NAFASI YA KUJITETEA.

    ReplyDelete
  3. Tusubiri pengine bado jipu alijaiva!!

    ReplyDelete
  4. ccm ni ile ile wanataka sifa kuliko wasanii viongozi wa sasa hv

    ReplyDelete