Video Mpya: ‘My Life’ ya Dogo Janja Imeachiwa Tayari, Itazame Hapa

Baada ya kimya cha muda mrefu Dogo Janja kutoka Tip Top Connection 2016 aliachia hit single yake ya ‘My Life’, ngoma hiyo Dogo Janja amebadili ni tofauti na tulivyomzoea katika ngoma zake za nyuma. March 14 Dogo Janja kaachia rasmi video ya hit Single ya ‘My Life’ enjoy mtu wangu.

TAZAMA HAPA:

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Well mbayaaaaaa yani mbayaaa...kwanzs rudi shule pili kasugue meno tatu...jaribu kufanya na shule ya mziki ili sauti iwe nzuri sauti ipo soooo flat

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shule kamwachia niki wa pili

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad