Rais amewaamuru wayaondoe mara moja ili pesa zitumike kulipa wafanyakazi wanaostahili kulipa kama wafanyakazi wa BOT.
Rais amesitikishwa na uzembe na pia wizi unaofanyika BOT kwa njia za udanganyifu.
Angalizo:
Kama na Bank of Tanzania inaweza kufanya madudu kama haya, sina budi kukubaliana na maneno ya Rais Magufuli wakati akiongea na wananchi wa Arusha aliposema,
‘’Tanzania hii, ilikuwa shamba la bibi, watu walikuwa wanafanya ya ovyo. Ninaposema ya ovyo ni ya ovyo kweli, mimi nipo serikalini, lakini nimekuwa waziri kwa miaka 20, ninayajua. Ninaposema ya ovyo, ndugu zangu naomba mniamini.
“Mambo ya mateso kwa wananchi hayana chama. Ukikosa madawa hospitalini hata ukiwa Chadema utakosa tu, hata ukiwa CCM unaimba kila siku CCM oyeee, utakosa tu madawa. Kwa hiyo hatua tunazotaka kuzichukua ni kwa wananchi wote bila kujali itikadi zao.
“Tumefika katika wakati huu, ni lazima patokee mmoja wa kuyafanya. Na ndiyo maana siku zote nimekuwa nikiwaeleza. Ndugu zangu mimi nimeamua kuwa sadaka ya Watanzania. Kazi hii ni ngumu, ni ya ajabu. Kila mmoja anajitahidi haya tunayoyafanya tusiyafanye, lakini nawashukurui mnaendelea kuniombea. Ndiyo maana niko hapa. Endeleeni kutuombea lengo letu ni la kuwasaidia ninyi. Ni lazima tufanye’’.
BOT PALE WEZI SANA NAO INAFAA WATUMBULIWE
ReplyDeleteDuuuuuuuuuuh aiseeee balaaa...na gavana wa benki yupo aliapishwa na rais aliyepita akaingia kazini hakuona hayo yote jamnii hiki ni nn chaaaaa..hv kwann lakn tz tatizo nn y y y y y aiseee thz z beyond madness...aibu aibu aibu aibu wafanyakazi hewa for how long wamekuwa wakilipwa daah huzuni
ReplyDeleteDah!
ReplyDeleteNakuombea sana JPJM Mungu yuko pamoja nawe
walijua hutagundua ilo
kweli wew ni rais mtendaji wala sio mpiga domo
watanzania makini tuko pamoja nawe rais wetu
We pray for you
ReplyDeleteAMEN
DeleteGOD BLESS YOU MAGUFULI
ReplyDeleteAmina
DeleteHatuna cha kumpa Magufuli zaidi ya dua zetu,
ReplyDeletekajitoa kwa ajili ya Tanzania.Mungu wetu endelea kuweka mkono wako kwa JPJM.
Aminaaaaaaaaaa
DeleteAmina yarabil'alamin.....
Deletetunamuomba Mwenyezi Mungu azidi kukulinda, Inshallah.
Tumbua tu.
ReplyDelete