Video:Bob Junior Kakubali Alikamatwa na Kulala Polisi.. Chanzo Je? Stori Iko Hapa

Ni headlines zilizochukua nafasi kubwa katika mitandao mbalimbali  hivi karibuni kuhusiana na msanii Bob Junior kukamatwa na jeshi la polisi, sasa basi msanii huyo yuko uraiani na hapa amefunguka mengi ambayo tulikuwa hatuyafahamu kuhusu kukamatwa kwake.

Angalia Video Hapa:
Chanzo:Millard Ayo

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad