Wasanii wa Bongo Movie Wampongeza Paul Makonda kwa Kuteuliwa kuwa RC Dar

Ma-Star wa Bongo Movia wamemuangushia party ya nguvu Mkuu wa Mkoa mpya wa Dsm ndugu Paul Makonda baada ya kuteuliwa na kuapishwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dsm.

Party hiyo ilijumuisha mastaa kibao wa mjini wakiongozwa na STEVE NYERERE, RICHI RICHIE na JB






Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bongo movie wanajua kujikomba
    makonda walala hoi tunakutegemea
    sas we cheza cheza na hao masta ushuzi kama hatujaandamana kwa jpjm

    ReplyDelete
  2. vilaza katika ubora wao.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad