Watanzania wamemjia juu Mkenya Rosemary Odinga ambaye pia ni mtoto wa mwanasiasa mkubwa wa nchini kenya Raila Odinga, ambaye ametoa taarifa za bonde la Olduvai Gorge kuwepo nchini Kenya, na kumtaka kuomba msamaha na kusahihisha kauli yake.
Wakiendesha kampeni hiyo kwenye mitandao ya kijamii kwa kutoa maoni kwenye picha yake, kumeibua hisia kubwa baina ya jamii ya Wakenya na Watanzania, huku Watanzania wakidai Wakenya wanawachokoza.
onesmo_killenga: Na hili tutalifanya fundisho kwenu omba msamaha mapema @rosemaryodinga la sivyo tutachukua hatua kama wananchi wa nchi yetu na hamta amini tutasusia bidhaa zenu zilizopo nchini ili tuendelee kuheshimiana hubacaren: Rosemaryodinga you still remain silent? ignoring this or what??? umewakosea watanzania wote na you should apologize publicly or you will just tarnish your image.
esteriche: Dd kasema oldvai ipo kenya xa ona watanzania wanavyomfrahisha ...atafrahiii kwa kweli hizo comments watanzania katika ubora wao na masters za kutetea vya kwao yani hapa nacheka na comment tu.
call_me_kimodo: Mama hivi unajua wa tz wewe, haya matusi tutayoanza kukuporomoshea utaomba poa, omba radhi mwenyewe mwizi wa rasilimali zetu.
Baada ya mkiki huo wa kwenye mitandao kutoka kwa watanzania, wakenya hawajakaa kimya na kuamua kujibu mapigo.
kimathijr: Mnajua nyie wabongo huwa mnabonga sana.. hata kichwa zenu tunajua zimejaa maji. sijapata ona majitu majina in the continent kama nyinyi mazee.... ur such as disgrace to our east community. smh.
Baada ya malumbano hayo Rosemary aliamua kujirudi na kuomba radhi., huku akisema hakuwa nania mbaya kusema kuwa Olduvai Gorge ipo Kenya, kwani Afrika mashariki ni moja.
Watanzania Wamjia Juu Mkenya Aliyesema Olduvai Gorge Ipo Nchini Kenya Mpaka Imebidi Aombe Radhi
9
March 01, 2016
Tags
Wakenya ndio walivyo wanatuita legelege sababu tuna huruma sn na wanawake wetu wazuri sio km wao weusi na vikomwe na shape less na ngongoti
ReplyDeleteKweli east africa ni moja na kila nchi ina rasilimali zake sasa iweje wewe ujimilikishe olduvai gorge yetu...makenya majitu ya hovyo sana...yanajiona yana akili kumbe makapi matupu
ReplyDeleteamesha tucost huyo demu
ReplyDeletetatizo serikali imekaa kimya haijitangazi wenzetu kenya hadi kwenye ndege zao sasa hivi wameweka chata za mlima kilimanjaro
ReplyDeleteTanzanian we have to stand up for our county , from Arusha to south africa, from Madrid to New york and all over the world this behavior will end .
ReplyDeleteTanzanian we have to stand up for our county , from Arusha to south africa, from Madrid to New york and all over the world this behavior will end .
ReplyDeletehata kama east africa ni moja kwa nini asifafanue kuwa olduvai ipo east africa ndani ya nchi ya tanzania. lakini yeye alijidai ipo kenya, shwain
ReplyDeletewatanzania tuache umbea
ReplyDeleteblog nyingi bongo ni udaku tuu mara wema mara ray sijui kafanyaje
mara siasa sasa iv kila mtanzania mwanasiasa
na hizi blog zimezidi kupost habari za kishenzi
tangazeni utali wa ndani kwa nguvu
na apa swala ni sisi wananchi tumezuba na ndio maana serikali nayo inakaa kimya
that what i'm talking about, nilaziama tuonyeshe umoja when i comes to our own haaahaa safi sana, wamesha kula hela nyingi tu za mlima kilimanjaro majizi makubwa haya
ReplyDelete