Watoto wa Mastaa wa Bongo Wanaotabiriwa Kuja Kuwa Mastaa Kama Wazazi Wao Hawa Hapa

Kila mtoto anapozaliwa huanza kumuangalia mzazi wake kama ni role model wake, lakini baadaye wengi huanza kubadili mawazo yao.


Mastaa wa Bongo wameanza kuwatengenezea mazingira watoto wao ya kutembelea nyota za wazazi wao ili watengeneze hela kuanzia sasa mpaka hapo baadaye.

Hawa ni baadhi ya watoto wa mastaa wanaotabiriwa kuja kuwa mastaa baadaye, wengine wanaweza wakawa na majina makubwa kuliko ya wazazi wao.

Latifa Nasibu (Tiffah)

Mpaka sasa ana umri wa miezi saba na siku kadhaa, Tiffah amekuwa ni staa pia ana followers kibao kwenye akaunti yake ya Instagram. Kutokana na umaarufu aliokuwa nao baba yake, Diamond na mama yake Zari, Tiffah ameshapata dili kadhaa ambazo zinamuingizia pesa kwa sasa huku akiwa bado hajui nini kinachoendelea.

Tiffah ni balozi wa Msasani Mall & Pugu Mall, pia ni balozi wa NMB Junior Account hii ni akili pekee iliyotumiwa na Diamond Platnumz na Zari ambayo inaweza ikamfanya Tiffah akatumia fursa hiyo kuja kuingiza hela nyingi hapo baadaye na akawa maarufu zaidi duniani.

Kendrick Mabeste

Mabeste na Lisa wanajivunia kuwa na mtoto kama Kendrick, akiwa anakaribia umri wa miaka mitatu, Kendrick ameshaanza kuwa maarufu na kuingiza mkwanja wake binafsi kwa kufanya baadhi ya matangazo.

Pia Kendrick amewahi kuwa mshindi kwenye shindano la Tabasamu akiwa ni mtoto mwenye kupendeza kwenye picha (Photogenic). Nje ya kufanya matangazo watu wameanza kumtabiria Kendrick kuja kuwa rapper kama baba yake (Mabeste).

Tanzanite Hamisi

Madini ya Tanzanite yana patikana Tanzania pekee, japo nchi ya India ndiyo inaonekana ni ya kwanza kwenye kuuza madini hayo. H Baba na Flora Mvungi hawakukosea kumuita mtoto wa jina la Tanzanite, ni mmoja kati ya watoto wa mastaa wenye mvuto na wenye muonekano mzuri.

Tanzanite yupo chini ya menejimenti ya Lisa Karl Fickenscher, ambaye anamsimamia Kendrick pia. Koffie Olomide aliwahi kumweka Tanzanite kwenye Instagram yake baada ya kushinda shindano ambalo Koffie alilitoa mtu ajirekodi akiimba wimbo wa Ekotite na kuahidi atakaye shinda angewekwa kwenye Instagram yake.

Pia alipata mualiko wa kushiriki mashindano ya U miss kwa watoto ambayo yalifanyika nchini Rwanda. H. Baba aliwahi kusema “kuwa kuna matangazo mengi ambayo Tanzanite anatakiwa kuyafanya kwa sasa.”

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wengine watakuwa malaya sana kama mama zao.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sana kama mimba feki alivyo malaya kaa figa 8. Na kama wewe ulivyo changu kaa mama ako.

      Delete
  2. kuna mmoja baba yake halisi hajulikani kabisaaaaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona wewe baba ako hajulikani mpaka leo. Shwain weeee.mfyuuu

      Delete
  3. namuona mtoto wa Katunzi hapo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha wivu mtoto ni wa Mondi.Watu wazima tumeshaona inaonekana hujazaa kwa hiyo hata vitu muhimu kwa mtoto anayefanana na baba yake hujui!!!

      Delete
    2. Tangi hapo hajazaa. Ile mimba ya Idriss ilikuwa matambara. Tiffah yuko mamtoni wewe kaa ununio kwanye nyumba ya kupanga. T*mbesha upesi upesi usije kosa kodi na kulipa luku na maji.

      Delete
  4. WOTE WATOA MAONI NI KUMA TUPU, NA WASENGE WA KUFIRIMBWA , HAPA MADA ULIKUWA WATOTO NINYI MNAABZA KUWASHAMBULIA HATA HAWAJUI KITU, MALAIKA WA MUNGU HAO MTAKUWA LAANA NA HUKO JAHNAM MTAKUWA KUNI

    ReplyDelete
  5. hata matako yake kama ya mondi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama wewe una li k*ndu la mama ako.

      Delete
  6. DA KWELI TIFFAH MACHO DIAMOND MTUPU.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad