Waziri wa Magufuli, January Makamba Katika Kashfa Nzito ya Kifisadi..Mange Kimambi Afichua...

Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.

Jaribu kupitia Instagram yake Kusikiliza Sauti zao:

Chanzo:Mange Kimambi Insta Page

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu msenge wakike kimambi ananini kakosa basha wa kumkuroga choo na kumshibisha kisawasawa ndo maana hana fikira za kawaida na hisia za kike kazi kutwa kuchwa anatafuta bit na kujishughulisha na mambo ya watu kama anao ushahidi apeleke takukuru sio kutujazia nzi na kufitinisha watu

    ReplyDelete
    Replies
    1. hivi wewe umezaliwa kawaida kama binadamu wengine au umetokea kwenye .... kubwa?

      Delete
    2. Msenge wa Kike Mamaako , ambae pia katokea haja kubwa
      kila mtu ana haki ya kuzungumza lile alilonalo bila kumtusi mtu , mtoto wa Mbwa wewe ...haya nianze kama ni matusi hapa ni msahafu pathetic little cunt

      Delete
  2. UKWELI UNAUMA SEMA MANGE USIOGOPE NI MUNGU TU NDO ATAKAE KULINDA.

    ReplyDelete
  3. wa tz wengi maskini wanadanganywa na hao wanaojifanya wakubwa wa nchi. bora tumejua. Mange mola akuweke uzidi kuwafichua wanafik.

    ReplyDelete
  4. mange na january wana bifuu la mda mrefu
    lkn tusubir tuone kama ni kweli atumbuliwe tuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. hakuna cha bifu nenda haki lazima itendeke nenda instagram clips zote za deal zipo huko ukweli mtupu between mwitaliano na kina Makamba jinsi wanavyo imaliza nchi. Bado mkapa na mkewa shenzi kabisa.

      Delete
  5. Hivi mnajua hata Kikwete alikuwa anawashabiki wake japokuwa kafilisi nchi na kuacha mama zetu wamelala chini Muhimbili ? Kwa hiyo sishangai kuona kuna mijitu humu inawatetea kina Makamba

    ReplyDelete
  6. we want more of this shit. wanakuna kwa mogogo yetu hao waking na watu hatupati matibabu hospital ini kwa ajili yao, please Mange bring it on god will protect you from this busted.

    ReplyDelete
  7. Tatizo sisi watanzania ni kitu kimoja mtu akisema ukweli au kufatilia kitu mnaaza kuwa hana lolote lile wana vitu binafsi, mnakumbuka scandal ya Clinton na Monica ilianza kwa media mpaka ikafikia kujulikana ukweli sasa hili linabidi jipu limesha wiva litumbuliwe media wafanye kazi yao na wananchi je mnapenda au tunapenda tusiwe na haki wafanye wananvyotaka sababu ni viongozi nini maana ya uhuru Mange fanya kazi yako siku moja watakuelewa tu watu wanateseka kwa ubwanyenye wao Magufuli fanya kazi yao hakuna kuogopana 2016 haki itendeke

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamani fact zoooote zimemwagwa instagram nendeni huko mkajionee jinsi tunavyo malizwa na Viognozi wa ccm na familia zao duuu, Africa sio masikini lakini viongozi wetu ni masikini wa roho na ukatili. kilamtu anajirudikia yeye na famillia zao madaraka yakiisha nchi imebaki tupu, mungu tunakuomba umpe magufuri umri mrefu

      Delete
  8. Credibility hpungua watu wanapo mwaga vitu serious kama hivi kwa social media; especially kama wewe una conflict of interest. Majuzi huyu dada wakati wa uchaguzi alikuwa anapokea mamilioni kutoka kwa Makamba huyohuyo kumchafua Lowassa, SO GO FIGURE!

    ReplyDelete
  9. Kama kweli nae atumbuliwe Tu, mange shusha vitu adi kieleweke. Wamezoea hao viongozi wetu

    ReplyDelete
  10. Jamani kazi hizi za media zinahitaji na wewe mwenyewe kujiongeza. Mleta hoja hii inawezza kumletea matatizo kwa kukosa justifications na reliable sources kuhusu taarifa zake. Nimeona huyo couple wa Binti wa mzee makamba akiommba radhi kwa umma na kuwa alikuwa akifanya kulipizza kisasi kwa mpenzi wake. So what is the End? tunahitaji kuwa makini na mitandao yetu la sivyo tunaweza kujikuta kwenye migogoro isiyo ya lazima.

    ReplyDelete
  11. kila lenye mwanzo lina mwisho arobain yao imefika

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad