Tshs bilioni 8 kila mwezi TANESCO bado wanalipa IPTL. Rais haijampendenza kumaliza ufisadi huu. IPTL nadhani ni Jipu la Mgongoni ( kwa kutumia maneno ya Hidaya wa Richard Mabala ).
Rais, kwa kutochukua kwake hatua, ameshaliingizia taifa hasara ya tshs 36 bilioni toka aingie madarakani".-Zitto Kabwe
Zitto Kabwe Amshukia Tena Magufuli, Hasara ya 36 Bilioni Toka Aingie Madarakani
3
March 11, 2016
Tags
Na wewe ni kiongozi,sasa sisi wananchi tunakutuma nenda ofisini kwake kamuambie/kaongee na rais haya unayoandika kila leo,
ReplyDeletehalafu uje utuandikie wananchi atakavyokujibu.
Hahahahahahahahahahaha!eti eeh... maana hatuoni kutekelezwa pengine mkuu huwa hasomi.
DeleteMfate kamtumbue jipu likipasuka urudi kutoa taarifa kwetu
ReplyDelete