Zitto Kabwe Amshukia Tena Magufuli, Hasara ya 36 Bilioni Toka Aingie Madarakani

Tshs bilioni 8 kila mwezi TANESCO bado wanalipa IPTL. Rais haijampendenza kumaliza ufisadi huu. IPTL nadhani ni Jipu la Mgongoni ( kwa kutumia maneno ya Hidaya wa Richard Mabala ).
Rais, kwa kutochukua kwake hatua, ameshaliingizia taifa hasara ya tshs 36 bilioni toka aingie madarakani".-Zitto Kabwe

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na wewe ni kiongozi,sasa sisi wananchi tunakutuma nenda ofisini kwake kamuambie/kaongee na rais haya unayoandika kila leo,
    halafu uje utuandikie wananchi atakavyokujibu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahahahahahahahaha!eti eeh... maana hatuoni kutekelezwa pengine mkuu huwa hasomi.

      Delete
  2. Mfate kamtumbue jipu likipasuka urudi kutoa taarifa kwetu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad