Baada ya Kutoka Tour Mwanamuziki Diamond Platnumz Apata Shavu Jingine la Nguvu....

Wanasema hela zinaenda kwa wale ambao tayari wanazo. Kwa Diamond kuamka na dili mpya kila kukicha kimekuwa ni kitu cha kawaida.

Na sasa staa huyo amesaini mkataba wa ubalozi wa tomato sauce tunayokutana nayo mara kibao kwenye vile vijiwe vya kulia viepe, Red Gold.

Amesaini mkataba huo jana kwenye ofisi zake za WCB. Huo ni mkataba wa tatu baada ya DSTV, Vodacom.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Big up,work hard always pay, nyie endeleeni kula unga mafanikio mtayasikia tu

    ReplyDelete
  2. Safi sana kijana piga kazi siye tunakuelewa sanaa

    ReplyDelete
  3. BIG UP DIAMOND. ENDELEA KUPIGA KAZI KWA NGUVU ZOTE!!!!HONGERA SANA.

    ReplyDelete
  4. hongera sana kaka hapa kazi tu .sisi tuna kussupport sanaaa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad