Baby Madaha: Nikikosa Kufanya Mapenzi na Mpenzi Wangu Siku Tatu tu Naugua....

STAA wa muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa, starehe yake kubwa ni kuwa faragha na laazizi wake kiasi kwamba akipitisha siku tatu huwa anaugua.

Akibonga na paparazi wetu kuhusu maisha yake ya kimapenzi, Madaha alisema kuwa kila mtu kuna kitu anakipenda hivyo yeye ugonjwa wake ni huo wa kukutana faragha na baby wake na kupeana furaha.

“Kusema ukweli miongoni mwa vitu ambavyo vinanifanya nikose amani ni kutokutana na mpenzi wangu faragha kwa zaidi ya siku tatu, huwezi kuamini naugua kabisa,” alisema msanii huyo.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawa watu wengine kama hawana la umuhimu hebu msiwahoji na nyie udaku mtu mzima anaongea pumba.

    ReplyDelete
  2. Hivi kuweka wazi mambo yako ya kitandani imekuwa dili na lenyewe eti?? yani unajisikia raha kutueleza namna unavyojisikia ukifanywa na mara ngapi?? Huu ulimbukeni tuache.

    ReplyDelete
  3. sexomatic woman

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad