Bibi Kizee wa Miaka 84 Abakwa na Kijana wa Miaka 32......

Pichani ni Bibi kizee mwenye umri wa miaka 84 na mkazi wa Kijiji cha Chungu, tarafa ya Ihanja, wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida akiwa amebebwa na mmoja wa ndugu zake wakati akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya mjini Singida kutoa ushahidi katika kesi inayomkabili kijana mmoja mwenye umri wa miaka 32 (jina lake halikupatikana) anayetuhumiwa kumbaka bibi kizee huyo kwa mara ya tatu sasa ndipo walipofanikiwa kumkamata.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi kuna sababu ya kutoa picha ya bibi badala ya picha ya mtuhumiwa ili watu wajihadhari naye. Duu bongo bwana

    ReplyDelete
  2. Hivi kuna sababu ya kutoa picha ya bibi badala ya picha ya mtuhumiwa ili watu wajihadhari naye. Duu bongo bwana

    ReplyDelete
  3. ni kweli wangeweka picha ya mtuhumiwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad