Breaking News: Mtangazi Gadner G Habash Arudi Clouds FM Radio Kutoka EFM


Baada ya watangazaji Gerald Hando na Paul James kusemekana wameondoka Clouds FM radio, Clouds imeamua kumrudisha nguli wa utangazaji Gadner G Habash .
Diva loveness Amepost picha mtangazaji huyo akisign mkataba na kuandika haya :
So wanted to post him toka Jana .. welcome back Captain G Habash !... I am The Happiest Girl on earth, You Made Me ... 👻 S/O to My Big Boss .. ❤ You did it , ️. yaan Captainnnnn .. G. Habassshh!. Umeona Banah ..

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Brother Gadner , Bora urudi Clouds FM Chama kubwa hilo , kule ulipokuwa walikuwa wanakuzeesha tu we check ulivyoisha sio Body lako hilo Gardner; thanks na hongera kwa maamuzi mazuri ; Big Up Brother:

    ReplyDelete
  2. Ndi ndi ndi siyo mchezo,comando Jay dee unamvuruga kaka wa watu umemuacha kakimbilia kwa wabaya wako.

    ReplyDelete
  3. Kashuswa kikomandoo Gardner atahama Redio zote chezea Mbibo weee,,,

    ReplyDelete
  4. ndi ndi ndi noma,g habash alikua akiisikia efm ikawa inamchoma kaona isije ikawa tabu ngoja niende ambako hawaipigi,ndi ndi ndi!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. ndi ndi ndi yaiponza efm kichwa cha habari magazeti ya leo,sorry majay.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad