Daraja Jipya la Kigamboni Limeanza Kutumika Leo..Hizi Hapa Picha

April 16 2016 ni siku ya kwanza kwa wakazi wa kigamboni kuanza kutumia Daraja jipya la kigamboni, kuvuka kutoka upande wa vijibweni kwenda upande wa pili wa kurasini Daraja la kigamboni litafunguliwa rasmi siku ya tareheApril 19 2016 na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John pombe Magufuli



Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa zimebaki fly over na enter change zetu Mh Magufuli. kaza buti

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad