Dayna Nyange Adai Anapenda Kuvaa Nguo za Kuacha Kiuno Chake Wazi


Msanii wa kike, Dayna Nyange amedai anapenda kuvaa nguo ambazo zinaacha wazi sehemu ya kiuno chake.
Dayna

Akizungumza katika kipindi cha Hatua Tatu cha Times Fm, Dayna amewataka watu kuacha tabia ya kuingilia maisha ya watu wengine.

“Unajua usipende kumjaji mtu kwa mavazi, mimi si mvaaji wa vikaptula au vinguo vifupi napenda tu kuvaa nguo inayoniacha ‘kakiuno’ tu kidogo wazi, kwa sababu napenda” alisema Dayna.

Muimbaji huyo kwa sasa anafanya vizuri na video yake ya wimbo ‘Angejua’.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unalo tumbo zuri na mimi ningekuwa na tumbo zuri hivyo ningeonyesha lakini nina kitambi cha bia, mimi ni msichana napenda kunywa bia na kula chips kuku

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad