Diamond Platnumz Anunua Nyumba Mpya Dar es Salaam Maeneo ya Sala Sala...Bei Aliyonunulia Ipo Hapa

Diamond platnumz ameendelea kuonyesha yeye ni msanii wa kuigwa baada ya leo hii kununua nyumba mpya iliyopo dar es salaam maeneo ya salasala mwanzo
Nyumba hiyo imemgharimu diamond zaidi milion 100 za kitanzania.
Wasanii wengine wanapwa kuekeza kwenye ardhi ili kesho yake wasikose pakujificha.
Hongera sana kijana diamond una umri mdogo lakini unajitambua 

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukweri hii nyumba haiendani na jina lake hapa kwa upande wangu kabolonga tu.Angetumia hii nafasi aliyo nayo kufanya vitu vikubwa sio kununuwa vi banda nyumaba kama hivi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wee nae wivu tuu utakufa kinywa waz............mbona nyumba nzur tuu nakajitahid, go Diamond

      Delete
    2. NA WEWE NUNUA YA KWAKO NZURI KULIKO HIYO ALAFU UTUONYESHE

      Delete
    3. Hiyo ni nyumba yakupangisha,tena kwa bei ya chini na hiyo nyumba ndani ya miaka 7-8 itakuwa imemrudishia hiyo hela na faida juu.

      Delete
    4. jamaa huyu kiroho kinamuuma sana . pole yako. Diamond umefanya jambo kubwa sana wekeza tu kwenye mijengo. ukiacha mziki utakuwa unacheza bao tu hela zinaingia zenyewe. Hongera sana. nunua nyingi tu kadiri uwezavyo. wenye wivu wajinyoge!!!

      Delete
    5. Any.10.56.angefanya vitu vikubwa kama vipi?kuna kikubwa zaidi ya ardhi/nyumba?ardhi itakuwepo hata wajukuu wake watavikuta,lakini magari na hivyo unavyovifikiria wewe kichwani mwako vitakwisha.wangapi wazazi wao waliwekeza kwenye nyumba mpaka leo wanaendeleza,na hao wenye magari imebaki historia?HONGERA SANA DAIMOND.

      Delete
  2. Vitu vikubwa ni nini?! Kuliko hela ikae kwenye akaunti kama pambo si bora kuwekeza kwenye kitu ambacho akiamua kuuza hata mwakani anapata mara mbili yake.Mi naona kafanya sawa kabisa huwezi jua ya kesho na kesho kutwa.

    ReplyDelete
  3. akinunua nyumba, ndege, farasi chochote kile, sisi haituhusu! ni yeye na familia yake!

    ReplyDelete
  4. Wa koze umwana u mtima Imana ikufashe uongeri indi nzu.

    ReplyDelete
  5. Inatuhusu nini sisi
    Hapa hizo ni Mali zake
    Tokeni habari za Watu wanaosaidia Watu masikini

    ReplyDelete
  6. HATA KOBE ANANYUMBA, USITUBABAISHE NA KIBIRITI HICHOO.

    ReplyDelete
  7. kibanda cha kuku cha kumdanganya kizee chake ili akatiwe tena na Katunzi ampe yeye mtoto.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe chako kiko wapi???????wivu tu

      Delete
  8. Is this news ? Hebu tuletee habari za maana pumbavu wewe !

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad