Edward Lowassa Azidiwa Nguvu...Magufuli Azidi Kupigilia Msumari...Aombwa Kustaafu Siasa

Ushauri wa kwa Lowassa, ni heri nusu shari kuliko shari kamili, bora astaafu siasa apumzike kwa heshima watanzania tutamkumbuka kwa kuleta changamoto katika siasa za nchini hii.

Lakini kwa kasi hii ya Magufuli haiwezi, kama ataendelea na ndoto zake kuutaka urais 2020 atakuja kuaibika kwa kupata kura chache pengine huenda asifikishe hata robo ya kura alizozipata 2015.
Magufuli ni habari nyingine kabisa amefunika kila upande, nyota yake inag'aa Tanzania nzima, wananchi wote wamemkubali hata Mbowe na wabunge wa upinzani wamekubali kuwa hakuna kama Magufuli.

Bora Lowassa akasoma alama za nyakati la sivyo ataendelea kuisoma namba JPM

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kumbe tishio kwenu CCM

    ReplyDelete
  2. Hata mimi ni mpinzani lakini sithubutu kumpinga Magufuli,
    kwa muda mfupi mno ananifanya niamini TZ itabadilishwa na serikali ya awamu hii ya tano.Mungu mbariki rais wetu na watendaji wake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mpe mgongo basi
      chonde chonde DUBAI utaijuwa

      Delete
  3. Ni kweli nyota ya Magufuli inang'aa karibu pembe zote za dunia kwa kweli,na ndio maana hata sisi wapinzania tunamuunga mkono kwani upinzani maana yake sio kukosoa hata mazuri,itakuwa ni uwendawazimu.Kwenye kukosoa tutakosoa.MUNGU IBARIKI TZ.

    ReplyDelete
  4. Kwa kutumbua vipele
    Kazidiwa nguvu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad