Faiza Ally Afunguka Vilivyo Kuhusu Mbunge Sugu Kuoa Mwanamke Mwingine


Muigizaji wa Bongo movie na 'baby mama' wa Mbunge wa Mbeya Mjini maarufu kama Sugu afunguka Instagram kuhusu mapenzi yake kwa mzazi mwenzie na kutoa tambo za kutosha kuwa hata Sugu akioa nyumba na mali zote za mbunge huyo ni za mwanae Desderia Sasha na hivyo akikua atarudi kwa baba yake.


Faiza pia aliendelea na kumponda mtarajiwa wa Mbunge huyo kuwa ameshawahi kuolewa na kuachika hivyo hawana tofauti.


Sasa Faiza, wivu wa nini jamani?...wewe hutakagi kuwa 'judged' ila unavyomjudge mwenzio unajua kilichomfanya akatoka ndoani?

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MASKINI YAANI HUTU DADA ANAUMIA SANA KUACHWA.

    ReplyDelete
  2. Usiombe ukaachwa huku bado unapenda hahhahah unawehuka yani ndo huyu dada sasa yani haja move on hata kidogo

    ReplyDelete
  3. Hakuna tatizo uyu anashindwa kumsahau kwanini kwani yeye alikua nani kwako kumbuka watu uliowapoteza muhimu na umewasahu itakua uyo kwa uwezi kusahau uwezi kumpata mwingine ukiona hivyo mama uyo alikua ajaandikiwa awe wako wa milele sahau ili upate mume bora uyo muachie mungu ili maisha yako yaendeleee muche aoe tena ndio vizuri kuna maisha baada ya ndoa

    ReplyDelete
  4. Umeona eeh! Kama michirizi anavyoshindwa ku move on wakati Dai kisha move on na haangalii nyuma. Pole bibi bomba.

    ReplyDelete
  5. Si unaona michirizi ameshasahu na maisha yanaendelea mwisho wa kupenda ni kifo

    ReplyDelete
  6. msikurupuke huyo Hapinness anatumia marafiki zake wakamtusi na kumkejeli Faiza kila wakati sasa kajibu kidogo tu wanapanick. Huyo dada alimpindua Faiza kwa Sugu sasa kero zake za nini za kutuma watu, basi hajiamini.

    ReplyDelete
  7. Faiza wewe ni Mzuri ila ubongo wa bata!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. Tulia dada kumbe unampenda bado baba motto wako, hata kama ameachwa ww haikuhusu tafuta wakwako ambaye hajaacha ni bikira.

    ReplyDelete
  9. Inaonekana anajutia sababu ambazo zilisababisha waachane anaona kabisa angerekebisha hizo sababu hiyo nafasi ingebaki kuwa yake

    ReplyDelete
  10. Faiza na huyo mwengine, Faiza yuko bomba mzuri yaani msupa,na ndio angepwndezea huyo sugu kushinda huyo, mwenye ndoa iliyomshinda hapo chini

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad