Baada ya Picha Kusambaa Mitandaoni Sugu Akiwa na Mpenzi wake mwingine, Mama wa Mtoto wake Faiza Ally ambae kwa sasa hawapo pamoja amefunguka mengi nimekuwekea hapa baadhi:
faizaally_ KUMPENDA MTU SIO ZAMBI TUKANENI TU ! NAUMIA WALA SIKATAI LKN SIO KESI ! NINI HAWARA HATA AKIOA - ACHA MMBONGO HATA AKIOA MALKIA WA UK - BADO SIWEZI KUHUKUMIWA NDIO HIVYO TENA NAMPENDA - PEANENI HABARI - TUKANENI LKN NAMPENDA HIVYO HIVYO NDIO BABA WA MWANANGU HLF SIKUMUIBA....... NAJUA MNATAMANI HATA MWANANGU ASINGE KUWA HUYO NDIO BABA YAKE LKN NDIO BASI TENA MIPANGO YA MUNGU NA BY THE WAY AKITAKA MTOTO WA PILI NTAMPA NA WA TATU PIA.......
Faizaally_ PIGENI TU PICHA KWENYE NYUMBA YA MWANANGU LKN MWENYEWE AKIKUA ATAKUJA - KAMA HAJAWA AMBIA KILA KITU KIKO CHINI YA JINA LA DESDERIA-SASHA - HATA HOTEL MPYA INAITWA DESDERIA #SHIKAMOO SASHA MBILINYI
Faizaally_ SIFAI NAFAA NDIO MAMA SASHA # THROW BACK MBEYA KWA BABA 🏻️ SEBLENI KWETU NA PAZIA CHAGUO LA MAMA # KALIENI TU MAKOCHI YANGU #PIGENI PICHA KWENYE MAUA ALIO PANDA MAMA YANGU # NIKIKUA NARUDIIII KWETU #NA HIVI BABA YANGU ANA NIPENDA MTAJAMBIA HEWANI # IN SASHAS VOICE
FAIZA ALLY..Nampenda Sana Sugu Hata Akitaka Mtoto wa Pili na Watatu Nitampatia....
8
April 12, 2016
Tags
Hahahhahhahha dah raha tupu mjini nani ahame
ReplyDeletewewe faiza unachotaka ni mahela sio kitu kingine na unataka kumzalia watoto wengine kwa sababu ya mihela, pia unampenda Sugu kwa sababu ya mihela, Kwani Sugu hana uzuri wowote wa mtu kumpenda
ReplyDeleteKwakweri kuna machiz duniani
ReplyDeleteFaiza mjinga,kwani ukikaa kimya kuna nini?Muda si mrefu utaduwaa maana kesho tu utasikia Sugu kabadilisha kila kitu kwa jina lake,au kawaandika watoto wengine,na ana haki kwa sababu kila kitu kafanya mwenyewe kwa akili timamu na anaweza kusema kaamua kubadilisha ili kuleta uwiano kwa watoto wake wengine.
ReplyDeleteMmmh,Huyu dada kwa kujishauwa,kwani sugu ana mtoto mmoja tu?Hata kama,ngoja usikie ame-adopt mtoto na kuwagawia upya mali alizo nazo.Sheria inaruhusu.
ReplyDeleteMaskini!Tumuonee huruma Faiza,kachanganyikiwa,alidhani Sugu atamrudia kumbe wapi,ndio kwanza anatoka na kisura mpyaaaaaaaaaaaa!
ReplyDeletesishangai kwa nini sugu alimdondosha mfyuuuuu.mjinga huyu binti hajitambui.
ReplyDeletehongera sugu anajitambua keshachelewa
ReplyDelete