FAIZA ALLY..Nampenda Sana Sugu Hata Akitaka Mtoto wa Pili na Watatu Nitampatia....

Baada ya Picha Kusambaa Mitandaoni Sugu Akiwa na Mpenzi wake mwingine, Mama wa Mtoto wake Faiza Ally ambae kwa sasa hawapo pamoja amefunguka mengi nimekuwekea hapa baadhi:


faizaally_ KUMPENDA MTU SIO ZAMBI  TUKANENI TU ! NAUMIA WALA SIKATAI LKN SIO KESI ! NINI HAWARA HATA AKIOA - ACHA MMBONGO HATA AKIOA MALKIA WA UK - BADO SIWEZI KUHUKUMIWA NDIO HIVYO TENA NAMPENDA - PEANENI HABARI - TUKANENI LKN NAMPENDA HIVYO HIVYO NDIO BABA WA MWANANGU HLF SIKUMUIBA....... NAJUA MNATAMANI HATA MWANANGU ASINGE KUWA HUYO NDIO BABA YAKE LKN NDIO BASI TENA MIPANGO YA MUNGU NA BY THE WAY AKITAKA MTOTO WA PILI NTAMPA NA WA TATU PIA.......

Faizaally_ PIGENI TU PICHA KWENYE NYUMBA YA MWANANGU LKN MWENYEWE AKIKUA ATAKUJA - KAMA HAJAWA AMBIA KILA KITU KIKO CHINI YA JINA LA DESDERIA-SASHA - HATA HOTEL MPYA INAITWA DESDERIA  #SHIKAMOO SASHA MBILINYI




Faizaally_ SIFAI NAFAA NDIO MAMA SASHA # THROW BACK MBEYA KWA BABA 🏻️ SEBLENI KWETU NA PAZIA CHAGUO LA MAMA  # KALIENI TU MAKOCHI YANGU #PIGENI PICHA KWENYE MAUA ALIO PANDA MAMA YANGU # NIKIKUA NARUDIIII KWETU #NA HIVI BABA YANGU ANA NIPENDA MTAJAMBIA HEWANI # IN SASHAS VOICE

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahhahhahha dah raha tupu mjini nani ahame

    ReplyDelete
  2. wewe faiza unachotaka ni mahela sio kitu kingine na unataka kumzalia watoto wengine kwa sababu ya mihela, pia unampenda Sugu kwa sababu ya mihela, Kwani Sugu hana uzuri wowote wa mtu kumpenda

    ReplyDelete
  3. Kwakweri kuna machiz duniani

    ReplyDelete
  4. Faiza mjinga,kwani ukikaa kimya kuna nini?Muda si mrefu utaduwaa maana kesho tu utasikia Sugu kabadilisha kila kitu kwa jina lake,au kawaandika watoto wengine,na ana haki kwa sababu kila kitu kafanya mwenyewe kwa akili timamu na anaweza kusema kaamua kubadilisha ili kuleta uwiano kwa watoto wake wengine.

    ReplyDelete
  5. Mmmh,Huyu dada kwa kujishauwa,kwani sugu ana mtoto mmoja tu?Hata kama,ngoja usikie ame-adopt mtoto na kuwagawia upya mali alizo nazo.Sheria inaruhusu.

    ReplyDelete
  6. Maskini!Tumuonee huruma Faiza,kachanganyikiwa,alidhani Sugu atamrudia kumbe wapi,ndio kwanza anatoka na kisura mpyaaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  7. sishangai kwa nini sugu alimdondosha mfyuuuuu.mjinga huyu binti hajitambui.

    ReplyDelete
  8. hongera sugu anajitambua keshachelewa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad