Fatuma Karume 'ALIPUKA': Zanzibar tunaishi kama wanyama!

Mwanadada jasri na aliyejizolea umaarufu hivi karibuni Fatuma Karume AMELIPUKA, unaweza kusema. Akihojiwa na DW amesema sasa Zanzibar wanaishi kama wanyama maana hawafuati katiba. "Kama wameamu kuondoa utaratibu tuliyojiwekea sasa tuna tofauti gani na wanyama?"

Alipoulizwa kama vitisho vya Ccm havimtishi na kama baba yake hamdhibiti, amesema. "Mimi siyo mbwa wala paka, nina haki yangu ya asili ya kujieleza na kutoa maoni" Amesema babake hawezi kuondoa uhuru wake kisa Ccm.
"Wanataka baba anidhibiti? (kicheko) "nina miaka 46, tena baba ananihimiza kufanya nachoamini ni haki"


Alipoulizwa maoni yake kuhusu MCC amesema anasikia watu wanasema wazanzibar wako tayari kufa njaa lakini serikali iachwe huru. "Hivi tunahitaji serikali huru au watu huru? hapa tuna wakoloni wengine" Ameuliza "yaani watu wa Zanzibar wafe njaa kisa Shein awe rais?" haiwezekani!
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. zanzibar ni jipu sugu

    ReplyDelete
  2. Sema mwaya japo ukweli unauma wewe ndo mzalendo wa Zanzibar kama hukusema wewe aseme nani?

    ReplyDelete
  3. We mtoto tulia nyumbani hacha ngebe

    ReplyDelete
  4. nampenda huyu dada jasiri na hodari sana

    ReplyDelete
  5. Unalindwa na hiyo hiyo ccm kwa ajilo ya baba yako sasa ajitokeze asiye na jina aongee kama yeye halafu muone,,,,,hata huyo kibaraka wa ccm tu hamji nyie acheni siasa za maji taka.Jaribu wewe kuropopka hayao aropokayo kama huja ngolewa kucha ana fulll ulinzi tena wa Dr shein,,,

    ReplyDelete
  6. Usilolijua usiku wa kiza atawadanganyeni nyinyi msomjua anaweza kueleza watu wizi wa kiasi gani wa mali za wazanzibar aloufanya na kuzimeza kuliko wanyama acheni kudanganywa nyinyi huwezi kuwafool watu na kuwadhihaki kiasi hicho shame on her wamekosa nafasi nyengine Nyang'au huyo.

    ReplyDelete
  7. Nyang'au matako yako,msenge ww hv kwani km huna cha kusema ukinyamaza itakuaje,hv unajua wazanzibar wanaathirika kwa kiasi gani mkundu kuwaka wee,,,,mfyuuuuuuu

    ReplyDelete
  8. sawli langu rahisi lakini lina mantiki, nyinyi mpo Zanzibar au Yeye mtazameni anaishi Zanzibar? tafakari

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad