GARI Lateketea Kwa Moto Pamoja na Dereva Akiwa Ndani.. Share Habari Hii Imfikie Mwenye Gari

KUNA GARI IMEPATA AJALI MAENEO YA MBEZI BEACH AFRICANA GARI NO T598BEL TOYOTA LANDCRUISER DEREVA KAUNGUA HAJAFAHAMIKA HATA KWA SURA,SAMBAZA UJUMBE HUU GROUP TOFAUTI ILI WENYE NDUGU WAMFAHAMU,GARI LIPO POLISI KAWE.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. watanzania tusaidianen sioo kuona kitu kama hichoo unashanghaa wakati mngeokoa maisha ya dreva . moto haulipuki ghafla kiasi cha kuangamiza gari zima

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad