HABARI MBAYA:Gari Latumbukia Baharini Wakati likisubiri Kivuko cha Kigamboni leo Asubuhi..Lilikuwa na Watu Wawili Ndani

 Habari mbaya imetufikia kuwa leo asubuhi eneo kivukoni Kigamboni kuna gari ambalo lilikuwa linasuburia kivuko ili kuvuka limeingia baharini huku likiwa na watu wawili ndani yake mpaka sasa inasemekana amepatikana mtu mmoja ambaye wakati gari linaelekea baharini aliruka , mtu wa pili ni mwanamke ambaye hajapatikana mpaka sasa na gari pia alijapatikana utafutaji bado unaendelea....


Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bado vivuko vp mm nilidhani kuwa dalaja tayati na kazi ya vivuko imekwisha du inasikitisha poleni wahanga

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad