Haya Ndio Maisha ya Mbunge SUGU Kwa Dasa


Kwenye Kampeni za uchaguzi Mkuu wa 2010 na 2015, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu alijishusha na kujinyongesha ili wananchi wamwamini na kumpa kura. Miongoni mwa mambo aliyotumia kuombea kura ni kutomiliki Magari na Nyumba za Kifahari na badala yake atatumia fedha atakazopata kuwahudumia wananchi hasa kwenye huduma za Afya na Elimu. Moja ya ahadi kuu ya Mr Sugu ni hii hapa na nanukuu;

========="Nikichaguliwa kuwa Mbunge, sioni faida ya kutembelea magari ya kifahari na kulala kwenye jumba la kifahari wakati wananchi wangu wanateseka kwa kukosa huduma bora hospitalini na watoto wanakosa vitabu, vyumba vya madarasa na madawati. Nitauza mpaka gari la Mkuu wa Mkoa ili kuhudumia Jamii========= Mwisho wa Kunukuu.

Sasa linganisha kauli hiyo na haya maisha anayoishi Mbunge wa Mbeya Mjini, Mr Sugu. Je kwa tafsiri yako msomaji, nini maana ya Magari ya Kifahari na Nyumba ya kifahari? Hivi anavyomiliki Sugu si vitu vya kifahari?
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jipu na siku zote wajinga ndio waliwao hakuna cha video wala nini hiyo ndio hali halisi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hawa wote ni walewale tu,Nampenda Pro.Jay tu ana uchungu na wana mikumi na tunamuona jinsi anavyotutumikia.

      Delete
  2. Sio video tu,ukweli ni kwamba Sugu ana maisha mazuri asikuambie mtu.

    ReplyDelete
  3. acheni ushenzi na upumbavu mnaosema eti hiyo ni video, sasa hiyo nyumba na hayo magari ni ya nani kama siyo ya sugu???? tajeni mwenye hizo mali siyo mnaleta unafiki tu hapa.

    ReplyDelete
  4. Mhhh. Wajinga ndio waliwao. Usimwamshe alie lala utalala wewe, sasa kam bungie amejimbikizia hivi. Kuna cha madawati, au huduma nzuri hapo, manake kila kitu kiendane na mshara wake

    ReplyDelete
  5. HIYO NI VIDEO TU . KAMA KWELI LIKO WAPI JUMBA HILO?? AU NDO KUHARIBIANA KISIASA!!!???

    ReplyDelete
  6. mfano hata kama ya kwake...sasa wewe unaumia nini...maskini bana wana taabu sana...manataka muwe chini wote?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maisha ni hivi, ukiwa na 1000 inabidi utumie kiuwezo ule, sasa Mh shimiwa Life imekwea juu sasa kama 10000 ipo inabidi matumizimyaongezeke hii ni laziam halafu ni automatic sasa mbunge akavae mitumba wakati hali inamruhusu aingie dukani hapo ni kumuuliza kafanya ili kama na wewe utajaribu sawa tu maisha yanaenda, hata Mungu kaumba watu na madaraja yao kuna waliobahatyika kupata ,wapo wanao subiri, wapo aina mbalimbali , hizi ndio zile zetu mtu akifanikiwa watu wanakosa hata time ya kufikiria mambo yao,

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad